RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ameanza rasmi mpango wa kuviwezesha kiuchumi vilabu vya Jogging kwa kuvipatia mitaji ya kuwezesha kuanzisha miradi ya kujikwamua kiuchumi. Akizungumza wakati wa Bonanza la Vilabu vya Jogging Dar es salaam RC Makonda ameanza kwa kukabidhi kitita cha zawadi ya shilingi milioni 10…