Maandamano yazuka Kampala kupinga kukamatwa mbunge Bobi Wine

Vikosi vya usalama nchini Uganda wamewakamata watu 10 waliojihusisha na maandamano ya kupinga kukamatwa kwa Mbunge wa upinzani, Bobi Wine ambaye alikamatwa na kushitakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi wiki iliyopita. Shughuli za Biashara zimesimama katika Jiji la Kampala, leo Mchana kutokana na makabiliano makubwa kati ya Vikosi vya usalama dhidi ya Wananchi ambao waliojitokeza kwenye…

Read More

Upelelezi unasubiriwa kutoka Australia kesi ya ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’

Kesi ya kughushi kibali cha madini ya U.S.D Mil 8 inayomkabili mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein maarufu ‘Ndama mtoto ya Ng’ombe’ kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo upelelezi wake unasubiriwa kutoka nchini Australia. Hayo yameelezwa na wakili wa serikali, Elia Athanas mbele ya Hakimu Mkazi, Maira Kasonde wakati kesi hiyo ilipoitishwa kwa ajili ya kutajwa. Wakili…

Read More

Basi la abiria lateketea kwa moto Kigoma

Basi la Kampuni ya Saratoga lenye namba za usajili T476 ADG lililokuwa likitoka mkoani Kigoma kwenda Sumbawanga limeteketea kwa moto eneo la Kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma. Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, ACP Martin Ottieno limesema kuwa bado linachunguza chanzo cha moto huo. Kwa mujibu wa Kamanda huyo, abiria…

Read More