MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (35)

Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Watu wanaokuzunguka ni sababu ya mafanikio. “Unakuwa na kama watu watano ambao unatumia muda mwingi ukiwa nao. Wachague kwa uangalifu, ” alisema Jim Rohn. Mtazamo chanya unaambukiza. Mafanikio yanaambukiza. Mark Ambrose alisema: “Nionyeshe rafiki zako nitakuonyesha wakati wako ujao.” Ukizungukwa na watu waliofanikiwa, kesho yako itakuwa ya mafanikio. “Unahitaji kujichanganya…

Read More

Sasa Trump hataki maziwa ya mama

Katika enzi hizi,miongoni mwa viongozi wanaoendela kushangaza dunia kwa uamuzi na matamshi yake ni pamoja na Rais Donald Trump wa Marekani. Na siyo kwa masuala hasi pekee. Trump amekuwa rais wa kwanza wa Marekani kukaa meza moja ya majadiliano na kiongozi wa Korea ya Kaskazini, baada ya kukutana na kiongozi wa Korea Kim Jong-un jijini…

Read More

IGP anzisha kampeni ajali za barabarani

Mhariri salamu, Nimeamua kuandika barua hii kwako Inspekta Jenerali wa Polisi wa Tanzania (IGP) ikufikie kupitia Gazeti la JAMHURI, nikiwa raia wa Tanzania na mdau wa usalama barabarani, nimeona nitoe mchango wangu wa mawazo katika kupambana na ajali za barabarani. Nikiwa mwalimu wa somo la Uraia na mdau wa masuala ya usalama barabarani, napendekeza kuanzishwa…

Read More

Kocha Taifa Stars apewe muda

NA MICHAEL SARUNGI Kutopitia mafunzo ya soka kutoka vyuo vya kufundishia soka na Watanzania kukosa uvumilivu kunaweza kuwa sababu ya kumkwamisha Kocha wa sasa wa Taifa Stars, Mnigeria Emmanuel Amunike. Wakizungumza na Gazeti la JAMHURI kwa nyakati tofauti baada ya kocha huyo kutangaza kikosi cha Taifa Stars kitakachoingia kambini kwa ajili ya mechi ya kuwania…

Read More

Utaratibu mpya wa kusajili kampuni

Na Bashir Yakub Tangu Aprili mwaka huu 2018, utaratibu wa kusajili kampuni umebadilika. Ni tofauti kabisa na ambavyo tulizoea. Hata hivyo, yapo mambo ambayo yamebaki vilevile kama awali, kadhalika yapo mengi pia yaliyobadilika. Tutapitia utaratibu wa awali kidogo na huu mpya. Utaratibu wa awali a) Ulikuwa unatakiwa kuandika barua kuuliza jina unalotaka kutumia kama jina…

Read More

Yah: Nadhani tumezidi unafiki

Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia sifa nyingi sana za mtu pale ambapo ndiyo kwanza tumemaliza kutupia chepe la mwisho la mchanga katika kaburi lake. Huwa inakuwa hotuba nzuri ya kutia simanzi juu ya uwepo wake alipokuwa hai na jinsi ambavyo nafasi yake itapata tabu sana kuzibika. Ni maneno yenye faraja ambayo kama mfu angepata nafasi ya…

Read More