Daily Archives: September 2, 2018

TUZO ZA AMVCA NIGERIA YATAWALA, KENYA YASHINDA TUZO 6 TANZANIA IKITOKA KAPA

Wakenya wameshika nafasi ya pili kutawala katika tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards maarudu kama (AMVCA) zilizomalizika hivi punde hapa jijini Lagos, Nigeria. Wakenya wameshinda tuzo sita kati ya nane walizokuwa wakiwania na kuwapiga kumbo Watanzania kw aupande wa Afrika Mashariki kwa kuwa hawakutoka na tuzo yoyote. Tanzania ilikuwa ikiwania tuzo mbili kupitia Amil Shivji na Lester Millardo ambao hawakufanikiwa ...

Read More »

Askofu Aomba Radhi kwa Kumgusa Kifua Mwanamuziki

Askofu huyo aliyeongoza ibada ya mazishi ya gwiji wa muziki nchini Marekani Aretha Franklin ameomba msamaha baada ya kushutumiwa kwa kumgusa kifua mwanamuziki Ariana Grande mbele ya umati mkubwa uliohudhuria mazishi hayo. Picha zinamuonyesha Askofu Charles H Ellis wa tatu akimshika Ariana juu ya kiuno chake huku vidole vyake vikiwa vimeshikilia upande mmoja wa kifua chake. ”Sio lengo langu kumshika ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons