Daily Archives: September 4, 2018

Airtel kitanzini

*Walimuuzia mteja vocha ‘feki’ ya Sh 5,000 *Mahakama yaamuru wamlipe Sh milioni 10 Na Mwandishi Wetu Mtanzania Simon Mkindi, ambaye ni mkazi wa Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam, mwezi uliopita ameweka historia isiyofutika nchini baada ya kuishtaki Kampuni ya simu ya Airtel kwa kumuuzia vocha ‘feki’ ya Sh 5,000 akashinda kesi, na sasa anapaswa kulipwa Sh milioni 10. Kesi ...

Read More »

Merkel atua Afrika

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amefanya ziara barani Afrika kwa kuzitembelea nchi za Ghana, Mali, Niger, Ethiopia, Misri na Senegal. Ziara hiyo ilikuwa yenye kuzungumzia changamoto ya uhamiaji haramu na kuimarisha uhusiano wa kibiashara. Akiwa nchini Ghana kiongozi huyo amekutana na Rais Nana Akufo-Addo, jijini Accra kujadili namna nzuri itakayoziwezesha nchi hizo kuimarisha maendeleo ya kiuchumi pamoja na kupambana na ...

Read More »

Unapofanya haya unahesabika kutenda uhaini

Na Bashir Yakub Uhaini ni kosa la jinai. Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo. Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza kupimwa kwa kutizama adhabu ya kosa. Kosa ambalo huadhibiwa kwa adhabu ndogo huwa ni kosa dogo na lile ambalo huadhibiwa kwa adhabu kubwa huwa ni kosa kubwa. 1. ...

Read More »

Mafanikio yoyote yana sababu (36)

Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Kufanya mambo upesi yaliyo muhimu ni sababu ya mafanikio. “Kuahirisha jambo rahisi unalifanya liwe jambo gumu na kuahirisha jambo gumu kunalifanya liwe lisilowezekana, ” alisema George Horace Lorimer. Kama mama wa uvumbuzi ni ulazima, mjomba wa mafanikio ni uharaka au wepesi. Tatizo ni kufikiria kuwa una muda mwingi au una miaka 1,000 ya kuishi hapa ...

Read More »

Barua ya Tundu Lissu kwa Rais Magufuli

Mheshimiwa John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu, Dar Es Salaam Agosti 30, 2018 UTANGULIZI Mheshimiwa Rais, Nakusalimu kutoka Leuven, Ubelgiji ninakoendelea na matibabu. Naomba pia upokee salamu zangu za rambi rambi na pole kwako wewe binafsi, mama yako mzazi, ndugu, jamaa, marafiki na majirani zenu wa Chato, kwa kufiwa na mpendwa dada yako hivi karibuni. ...

Read More »

Ndugu Rais, kwanini Mkenya afe sababu ya uchaguzi?

Ndugu Rais, wakati mwingine ninapoandika moyo wangu hujaa simanzi kuzidi uwezo wa kifua changu kuihimili. Huacha kuandika na kwenda ukutani ilipo picha tuliyopiga mimi na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, nyumbani kwake Msasani. Moyoni huiambia ile picha, “Baba, saa yako ilipofika ya kurudi kwa Muumba wako ulituahidi kwenda kutuombea. Waombee Watanzania sasa!” Kama kuna kitu kinachousononesha moyo wangu ...

Read More »

Makonda maji shingoni

*Kauli ya Rais Magufuli yazima ‘kiburi’ chake nchini *Sh bilioni 1.2 makontena kaa la moto, akilipa linammaliza *Wasema sasa ni ‘zilipendwa’ , wakumbushia vituko vyake *Askofu Gwajima asisitiza alikwishamfuta katika uliwengu wa siasa Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, maji yamemfika shingoni na kama si mwogeleaji hodari kisiasa wakati wowote kuanzia ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons