Daily Archives: September 5, 2018

Examining Painless Advice For Brightbrides org

Sometimes females delay the procedure so as to have got sufficient time and energy to scrape your money together. It may be true there are women inside Latin The united states who seek out a non-Latino spouse (or only a north american citizen who have might or might not be Latino) to receive a new green-card. A female who’s sincere, ...

Read More »

Mwongozo wa adhabu kwa wanafunzi

Katibu Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu, Winifrida Rutaindurwa ametoa onyo kwa Walimu wanaowaadhibu wanafunzi bila kuzingatia Sheria Kanuni na Taratibu zinazotoa mwongozo wa aina, kiwango na namna adhabu inavyotakiwa kutolewa kwa wanafunzi. Amesema kuwa kutoa adhabu ya viboko kwa wanafunzi bila kuzingatia taratibu zinazohusika sio tu kwamba inaleta athari kwa wanafunzi wanaoadhibiwa, bali inaweza kusababisha chuki kati ...

Read More »

Ushuru huu unakwenda wapi?

Wiki iliyopita kama ilivyo ada yake, Mpita Njia (MN) alikuwa miongoni mwa abiria waliotumia usafiri wa mabasi yaendayo haraka au maarufu kama ‘mwendo kasi.’ MN alitumia usafiri huo wa mwendo kasi majira ya saa 12:30 jioni kutoka kituo cha jiji hadi kituo cha Ubungo ilipo stendi ya mabasi yaendayo mikoani. Baada ya kutelemka katika kituo hicho alipita katika njia maalumu ...

Read More »

BHOKE 362

Ni kweli tuna matatizo mengi – kuanzia ukosefu wa ajira, elimu duni, kilimo duni, huduma duni za afya, miundombinu duni, ukosefu wa maji safi na salama kwa watu wetu, demokrasia changa, utawala dhaifu na kumomonyoka kwa maadili kwa baadhi ya viongozi. Wakati mwingine Watanzania wanaonekana kama watu ambao akili zao zimekusanywa na kukabidhiwa kwa ‘mtunza akili’. Kama ni kujipima, tumejipima ...

Read More »

Je, unajua shehena ya mafuta, gesi inavyohudumiwa bandarin

Na Mwandishi Maalumu Makala ya wiki hii katika mfululizo wa makala za bandari, mwandish shehena za mafuta na gesi zinavyohudumiwa katika bandar Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), hususan katika Bandari ya Shehena za mafuata huagizwa na Petroleum Bulk Procureme ambao ni wakala wa serikali. Wakala huu uliundwa kuepuka ms bandarini, hivyo kupunguza au kuondoa kabisa gharama za tozo kukaa muda ...

Read More »

Jaji anyang’anywa jalada la mauaji Moshi

Na Charles Ndagulla, Moshi Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Aishiel Sumari, amenyang’anywa jalada la kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Scolastica, Humphrey Makundi (16), JAMHURI limebaini. Hatua hii imekuja siku chache baada ya JAMHURI kupata taarifa za kiuchunguzi zenye kuonyesha kuwa Jaji Sumari alikuwa analalamikiwa, gazeti likachapisha taarifa ...

Read More »

Utawala wa sheria utatuepusha ya Makonda

Na Deodatus Balile Wiki tuliyoimaliza imekuwa na matukio mengi. Tumesikia kifo cha Mkurugenzi wa Fedha na Mipango wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Mtawa Susan Bathlomeo. Kifo hiki kimeacha maswali mengi. Wapo wanaosema amejirusha, wapo wanaosema amerushwa kutoka ghorofani. Mpaka sasa uchunguzi unaendelea na hatujapata jibu kamili. Sitanii, mwezi Agosti umekuwa na vifo vingi kwa kiwango cha kutisha. Wakati tunaomboleza kifo ...

Read More »

UN yabisha hodi Uganda

Umoja wa Mataifa (UN) umezitaka mamlaka za kisheria nchini Uganda kuitisha uchunguzi huru dhidi ya machafuko yaliyotokea nchini humo na kusababisha kukamatwa na kuteswa kwa wabunge, akiwemo nyota wa zamani wa muziki, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine. Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binadamu wa umoja huo, Zeid Ra’ad Al Hussein, ametoa wito kwa serikali ya Rais Yoweri Museveni ...

Read More »

Ratiba Taifa Stars balaa

NA MICHAEL SARUNGI Mabadiliko ya ratiba yanayofanywa kila mara na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ni miongoni mwa changamoto zilizoshindikana kupatiwa ufumbuzi huku klabu zikiendelea kuumia kwa kulazimishwa kuandaa bajeti ya ziada. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, makocha na wadau wa michezo nchini wamesema hali hiyo imekuwa ikizilazimu klabu kuwa ...

Read More »

Serikali ikate rufaa kesi ya IPTL

Mwishoni mwa Agosti mwaka huu Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID) imeikataa rufaa ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupinga hukumu ya kuilipa Benki ya Standard Chartered Dola za Marekani milioni 148.4 (sawa na Sh bilioni 336). Akiongoza jopo la wajumbe waliosikiliza rufaa hiyo, Rais wa ICSID, Claus von Wobeser, ametupilia mbali hoja za Tanesco za ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons