Daily Archives: September 6, 2018

Mussa Azzan Zungu Achanganyikiwa na Hoja ya Mbunge wa Chadema

Mwenyekiti wa Bunge Mussa Azzan Zungu amejichanganya wakati wa kutoa majibu ya kura ya uamuzi na kufanya wabunge wa Kambi ya Rasmi ya Upinzani kulipuka kwa furaha kwa kupiga makofi. Hilo limetokea wakati Bunge lilipokaa kama kamati ya Bunge zima kupitisha Muswada wa sheria ya bodi ya Kitaalam ya Walimu kwa mwaka 2018 bungeni leo Septemba 5 2018. Zungu amejichanganya ...

Read More »

Viwanja, mashamba ya Musukuma kupigwa mnada

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kampuni ya udalali ya LJ International Ltd imetangaza kuzipiga mnada mali za Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma. Mali zilizotajwa kupigwa mnada ni pamoja na kiwanja Na.275 Block kilichopo Mbezi Dar es Salaam na kiwanja Na.’2’ block ‘A’kilichopo Korogwe mjini. Mali nyingine ni shamba Na.201 liliolopo kijiji cha Igate Mkoani ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons