Daily Archives: September 9, 2018

Queen Elizabeth Aibuka Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Shindano la Miss Tanzania 2018 lilofanyika usiku wa Jumamosi Septemba 8, 2018 na kushuhudia Queen Elizabeth kuibuka na ushindi katika mshindano hayo. Queen alisema “Nafurahia kushinda taji ili najisikia vizuri sana asante Tanzania” akiongeza “ukiwa kama mrembo lazima ujiandae kama unavyoona warembo ni wazuri sio kwamba ni wazuri kumuonekano tu hata kichwani pia wako vizuri” na miongoni  katika fainali hiyo  Waziri ...

Read More »

Seneti yamaliza mahojiano, mteule wa Trump atabiriwa kuthibitishwa

Brett Kavanaugh, mteule wa Rais Donald Trump katika nafasi ya Mahakama ya Juu Marekani, Ijumaa alionekana kuwa anaelekea atapitishwa na Baraza la Seneti baada ya siku nne za mahojiano ambapo alifanikwa kujiepusha na vizingiti vikubwa pamoja na Wademokrati kujaribu kwa hasira zote kuzuia uteuzi huo. Kiongozi wa walio wengi katika Baraza la Seneti Mitch McConnel, aliulizwa na mwendesha kipindi mkonservative ...

Read More »

Baraza la Biashara Kenya laeleza madhara ya ongezeko la kodi kwenye mafuta

Kasi ya ukuaji wa uchumi wa Kenya mwaka huu huenda ikapata athari mwaka 2018 kwa kiasi kikubwa kutokana na asilimia 16 ya kodi la ongezeko la thamani (VAT) kwenye mafuta, baraza la biashara la nchi hiyo limesema Ijumaa, wakitaja bei kubwa za bidhaa na usafiri. Kodi hiyo ambayo imeanza kutumika rasmi Septemba 1, ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha ...

Read More »

Vyombo vya usalama vyawaonya wananchi wa Uganda ughaibuni

Vyombo vya usalama nchini Uganda vimewaonya wananchi wa Uganda walioko nje ya nchi ambao wanatoa matamko ya kuvunja amani, utulivu na haki binafsi za mtu yoyote hususan viongozi, watashughulikiwa ipasavyo watakapo rejea nchini. Onyo hilo limetolewa kufuatia kukamatwa kwa mtoto wa Mkuu wa Chuo cha Makerere wa zamani, ambaye polisi wanamtuhumu kwa kutumia lugha ya matusi wakati wa maandamano yaliyofanywa ...

Read More »

Baba wa Manyika JR Aelezea Sakata la Mwanaye

Peter ambaye ni baba mzanzi wa Peter Manyika, amefunguka kuhusiana na sakata la mtoto wake kujiengua kwenye timu ya Singida United akieleza kutolipwa stahiki zake. Peter amesema kuwa ni kweli mtoto wake ameshaondoka SIngida na sasa yupo katika kituo cha soka anachokimiliki jijini Dar es Salaam akijifua kulinda kiwango chake. Mzee huyo ameeleza kuwa ni kweli Singida hawajamlipa stahiki zake ...

Read More »

Mamji Aahidi Makubwa Yanga

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Matawi ya Yanga Dar es Salaam, Boas Ikupilika, Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji amewaahidi kuisuka Yanga mpya kwenye dirisha dogo la Novemba. Manji pia ameahidi kumpa sapoti kubwa Kocha Mwinyi Za­hera kuhakikisha sifa ya Yanga inarejea kwani amewakubali wachezaji baada ya kuwaona kwenye Uwanja wa Taifa hivi ka­ribuni alipokwenda kuwaangalia. Usajili wa dirisha ...

Read More »

Obama Amshutuma Rais Trump

Aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama amemshutumu mrithi wake Donald Trump na mambo ya ‘kipuuzi yanayotoka’ katika ikulu ya Whitehouse. ”Hii sio kawaida huu ni wakati usio wa kawaida na ni wakati hatari”, Obama aliwaambia wanafunzi katika chuo kikuu cha Illinois. Alitaka kurejeshwa kwa uaminifu na heshima na sheria kufuatwa katika serikali. Rais huyo wa zamani amekuwa akifanya mambo yake ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons