Mafanikio, changamoto Chuo Kikuu Huria

Mafanikio, changamoto Chuo Kikuu Huria Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Profesa Elifas Bisanda, amezungumza na Gazeti la JAMHURI kuhusu historia, mafanikio, changamoto na hatima ya chuo hicho. Mwandishi MANYERERE JACKTON, aliyezungumza naye, analeta maelezo ya Profesa Bisanda neno kwa neno. Endelea… Umuhimu wa kozi ya ‘foundation’ Kozi ya foundation ilianzishwa mwaka…

Read More

Mafanikio yoyote yana sababu (39)

Na Pd. Dk. Faustin Kamugisha Kwenda maili moja zaidi ni sababu ya mafanikio. Kufanya jambo zaidi ni sababu ya mafanikio. “Hakuna msongamano wa magari kwenye maili moja zaidi,” alisema Zig Ziglar. Maili moja zaidi haina umati wa watu. Maana yake ni kuwa kuna watu wachache wanaofanya mambo zaidi ya yanayotakiwa. “Mafanikio yanaanzia kwenye maili moja…

Read More

Shairi: Msiba wa Taifa

1: Sioni pa kuanzia, Kueleza taarifa, Nchi yetu Tanzania, Imekumbwa na maafa, Taifa zima twalia, Ni msiba wa taifa, Watu mia na zaidi, Leo tumewapoteza. 2: Raia kwa wanafunzi, Na wazazi kwa watoto, Wametujaza simanzi, Na mili kuwa mizito, Mili imeshika ganzi, Ni kwa hili jambo zito, Jamani watanzania, Tuwaombee wenzetu. 3: Tumeumbiwa upofu, Kifo…

Read More

Ajali ya mv Nyerere: tutajifunza lini?

Jambo ambalo si rahisi kuacha kulitaja ni hali duni ya usalama inayowakabili watumiaji wa vyombo vya usafirishaji kutokana na kujirudia kwa ajali mbalimbali. Watanzania tumo kwenye maombolezo ya vifo na hasara iliyotokana na ajali ya hivi karibuni ya mv Nyerere, kivuko kinachohudumia wakazi wa Kisiwa cha Ukara, Wilaya ya Ukerewe. Naandika makala hii ikiwa tayari…

Read More

Man City yachekelea faida

Manchester, Uingereza Mabingwa wa Ligi Kuu nchini Uingereza, Klabu ya Manchester City, wametangaza kupata faida ya kiasi cha pauni milioni 500.5 sawa na Sh bilioni 1.5 kwa msimu wa 2017/18 na kuvunja rekodi ya mapato tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo mwaka 1880. Pia klabu hiyo imetangaza kuwa tangu kuwasili klabuni hapo kwa Kocha wake, Pep…

Read More