Matajiri Afrika wanavyotekwa
Tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji, maarufu kama Mo, limeitikisa Tanzania, lakini si jipya kwa mwaka huu barani Afrika. Mo ni tajiri mkubwa wa saba barani Afrika kutekwa tangu mwaka 2018 ulipoanza. Matukio mengine ya namna hiyo yametokea nchini Afrika Kusini, Msumbiji na Nigeria. 1. Shiraz Gathoo – Afrika Kusini Mfanyabiashara maarufu kutoka Afrika…