Pongezi kwa Serikali kupiga ‘stop; GMO

Juma lililopita tumesikia taarifa za kutisha kwamba wabunge wametembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) iliyopo Makutupora, Dodoma na kuridhishwa na matokeo ya utafiti wa mbegu za GMO, mbegu zinazoundwa kwenye maabara. Zilifuatiwa na habari kwamba serikali imesimamisha mara moja utafiti wote unaofanywa na TARI na kuagiza kuteketezwa kwa mazao yote yaliyokuwa yakitumika kwa sababu…

Read More

Namna ya kuzuia ukazaji/utekelezaji wa hukumu

1. Ukazaji wa hukumu ni nini? Ukazaji wa hukumu ni hatua inayochukuliwa na mtu aliyeshinda kesi/shauri kwa kuiomba mahakama kumlazimisha mtu aliyeshindwa katika kesi/shauri kufanya au kutekeleza kile ilichoamua dhidi yake/mshindwa. Kawaida mtu akishindwa kesi/shauri mahakama huwa inatoa maagizo mbalimbali, mathalani agizo la kulipa fedha, agizo la kurudisha nyumba au mali fulani, agizo la kubomoa,…

Read More

Subira ina heri, hila ina shari 

Mwanambuzi alikwenda mtoni kunywa maji. Akiwa anakunywa maji, alitokea mbwamwitu naye alikwenda kunywa maji. Mbwamwitu alisimama hatua chache kutoka aliposimama mwanambuzi.  Mbwamwitu alitamani sana kumla mwanambuzi. Alifikiri mbinu za kumkamata asimkimbie. Wakati anafikiri hivyo, mwanambuzi alikwisha kubaini janja ya mbwamwitu. Alijiweka tayari kumkwepa na kumkimbia.  Mara mbwamwitu akanena: “Wee mtoto mbona hauna adabu? Unatibua maji…

Read More

Yah: Maisha ya leo ndiyo tunayohitaji

Nianze na salamu za makabila ya huku kwetu Kusini kwenye mafanikio ya kununua korosho kwa mkupuo, tena bila mizengwe ya kuzungushana wala kupangiwa bei tofauti. Kuna salamu ambayo nadhani nikiitumia wengi wataielewa kwamba yajayo yanafurahisha, msishangae kutuona mjini kuja kufanya ‘shopingi’ ya vitu vya maana kama magari na mabati mazuri. Sisi ndio wakulima wa korosho…

Read More

Tumkumbuke nguli Shakila Binti Said (1)

Ni zaidi ya miaka miwili tangu atutoke Shakila Binti Said aliyekuwa nguli katika miondoko ya muziki wa taarabu humu nchini na Afrika Mashariki na Kati kwa ujumla. Wakati wa uhai wake, aliweza kuonyesha umahiri wake wa utunzi na uimbaji wa taarabu katika bendi zote alizowahi kuzitumikia. Shakila alifariki dunia ghafla, ambapo binti yake wa mwisho aitwaye…

Read More

Nani kuibuka mchezaji bora Afrika?

Wachezaji watano wamependekezwa kuwania tuzo ya BBC ya Mchezaji Bora wa soka barani Afrika mwaka 2018. Wachezaji wote wanacheza soka la kulipwa barani Ulaya. Wachezaji walioorodheshwa mwaka huu ni Medhi Benatia (Morocco), Kalidou Koulibaly (Senegal), Sadio Mane (Senegal), Thomas Partey (Ghana) na Mohamed Salah (Misri). Upigaji kura ulianza rasmi Novemba 17, saa nne usiku kwa…

Read More