Maji ya visima hatari Songea

Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa Songea, Mkoa wa Ruvuma wamo hatarini kupata ugumba na saratani kutokana na kutumia maji yenye kinyesi cha binadamu kwa miaka 16 baada ya kuchimba visima karibu na vyoo, JAMHURI limebaini. Uchunguzi wa gazeti hili uliohusisha, pamoja na mambo mengine, kuwahoji wananchi 123 wa kata mbili, Ruvuma, yenye wakazi 15,706 ambako…

Read More

Aliyepigwa risasi Ikulu Ndogo kuburuzwa kortini

Mtu mmoja aliyepigwa risasi na polisi akiwa maeneo ya Ikulu Ndogo inayotumiwa na Makamu wa Rais jijini Mwanza atafikishwa mahakamani baada ya matibabu. Raia huyo amelazwa Hospitali ya Rufaa mkoani hapa ya Sekou Toure akiendelea kuuguza jeraha la risasi mwilini mwake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro, amelithibitishia Gazeti la JAMHURI akisema tukio…

Read More

Utulivu uendelee vyama vya siasa

Katika siku za karibuni uwanja wa siasa nchini umeshuhudia matukio makubwa. Ni matukio yenye kuzua mjadala na kimsingi, unaweza kusema ni matukio ambayo kwa sehemu kubwa yamevuruga mikakati ya vyama vya siasa kwa ujumla wake, mikakati kati ya chama kimoja dhidi ya kingine na hata mikakati kati ya mwanasiasa mmoja hadi mwingine. Matukio haya yanahusu…

Read More

NINA NDOTO (12)

Ongeza thamani kwa ukifanyacho Mchezaji bora katika timu si yule mwenye umri mkubwa zaidi ya wachezaji wengine au aliyeitumikia timu kwa muda mrefu, bali ni yule mwenye thamani.  Ndiye hulipwa zaidi ya wote. Thamani ni gharama au ubora wa kitu kutokana na hali na kuhitajika kwake kwenye jamii.  Kila  unachokifanya kitakulipa kuendana na thamani unayoitoa….

Read More

Hofu ya Chadema sheria mpya ya vyama vya siasa

Katika taarifa kwa umma, Machi 22, 2019, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanya uchambuzi wa sheria mpya ya vyama vya siasa iliyotiwa saini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi karibuni kama ifuatavyo: Tumeiona Sheria mpya ya Vyama vya Siasa ambayo imesainiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli,…

Read More