Mkakati kuing’oa CCM mwaka 2020

Mnyukano wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020 umeanza. Vyama 10 vya upinzani vimeandaa mkakati wa kisayansi kukiangusha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kutumia Sheria mpya ya Vyama vya Siasa ya Mwaka 2018. Kwa upande wake, CCM imejigamba kuwa maisha ya vyama vya upinzani katika uwanja wa siasa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao nchini ni ‘mahututi’. Gazeti…

Read More

Ecobank yamwibia mteja mamilioni

Mahakama Kuu ya Tanzania (Divisheni ya Biashara) imeitia hatiani Ecobank Tanzania Limited kwa kumwibia mteja wake, Kampuni ya Future Trading Limited, Sh milioni 66 kutoka kwenye akaunti yake. Fedha hizo zimeibwa kwenye akaunti hiyo kupitia huduma ya internet banking na kuziingiza katika akaunti iliyoko nchini Afrika Kusini. Hukumu hiyo ya kesi namba 68 ya mwaka 2014, imetolewa…

Read More

Rais ampandisha cheo aliyekataa rushwa

Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, Msafiri Mbibo, ameteuliwa kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa, imesema uteuzi huo uliofanywa na Rais John Magufuli, umeanza Machi 31, mwaka huu. Desemba, mwaka jana, Gazeti la JAMHURI liliandika habari iliyohusu Mbibo kukataa…

Read More

Serikali yashitukia ufisadi wa milioni 71/-

Serikali imeshitukia matumizi mabaya ya fedha za makusanyo ya ardhi kiasi cha Sh milioni 71. Fedha hizo zinazodaiwa kutojulikana zilipo zinatokana na malipo ya viwanja 194 vya wakazi wa mji wa Hungumalwa, Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza. Raia hao walitoa fedha hizo ili wapimiwe na kupewa hati za maeneo yao ya makazi…

Read More

Msajili wa Vyama awe mlezi wa vyama

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa tishio la kukifuta Chama cha ACT-Wazalendo. Sababu kadhaa zimetolewa, zikiwamo za madai kwamba chama hicho kinatumia udini na kinaharibu kadi na mali za chama kingine – CUF. Tunaandika haya kwa unyenyekevu mkubwa tukitambua kuwa dola na vyombo vyake vina dhima ya kuhakikisha nchi yetu inaendelea kuwa tulivu…

Read More