Yah: Mheshimiwa Rais, bado kuna mambo mengi

Salamu zangu ni za kawaida kwa sababu kwanza naamini katika upendo; pili, naamini katika undugu; Watanzania wote ni kitu kimoja na ni ndugu, tunapaswa kupendana sana. Upendo tutakaokuwa nao ndio utakaotufanya tuwe na mshikamano na hatimaye tutavuka hili tuta kubwa na lenye majaribu makubwa ya kufikia malengo ya maendeleo. Huwa nakufuatilia sana, hasa pale unapoonyesha…

Read More

Yanga kutetema mbele ya Lipuli?

Timu ya Yanga imeendelea kugawa dozi kwenye Kombe la FA, baada ya kufuzu kuingia katika hatua ya nusu fainali, baada ya kuwatupa nje ya michuano hiyo timu ya Alliance kwa jumla ya penaltiĀ 4-3 katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza, baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya kufungana goli 1-1. Katika hatua hiyo ya…

Read More