Ndugu Rais tulipewa Julius Nyerere lakini hatukumjua aliyetupa
Ndugu Rais, imeandikwa kuwa Yesu Kristo kabla ya kuondoka, aliwaambia wanafunzi wake, “Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu kamwe hayatapita!’’ Miaka zaidi ya 2000 imepita tangu kifo chake, lakini ulimwengu unashuhudia maneno yake yangali yamesimama vilevile nukta kwa mkato mpaka leo. Na hivyo ndivyo zitakavyodumu fikra sahihi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage…