Stieglers hatarini

Wakati serikali ikiwekeza matrilioni ya fedha kupata umeme wa uhakika kutoka katika Bwawa la Nyerere lililoko Rufiji mkoani Pwani, hali ni tofauti kwenye vyanzo vya maji ya Mto Rufiji.  Mto Rufiji ambao ndio chanzo kikuu cha umeme wa Stieglers (sasa Bwawa la Nyerere), hupokea maji kutoka vyanzo kadhaa ikiwa ni pamoja na Mto Kilombero uliopo…

Read More

Uwekezaji wawaachia umaskini Skauti

Kampuni yachukua eneo lote, wakosa hata pa kusimika Bendera ya Taifa Wakabiliwa na madeni, wakosa uwezo kuwafikia wanachama  Chama cha Maskauti wa Kike Tanzania (TGGA) kimo katika hali mbaya huku kikikabiliwa na madeni makubwa yanayodaiwa kusababishwa na uwekezaji mbovu uliofanywa miaka kadhaa iliyopita.  Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa hata eneo lililokuwa likimilikiwa na kutumiwa…

Read More

Dk. Kalemani: Corona isikwamishe miradi

Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amewataka makandarasi wanaotekeleza miradi ya usambazaji wa umeme vijijini kujikinga na kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya corona huku wakiendelea kutekeleza miradi hiyo na kuikamilisha kwa wakati. Akizungumza wakati akiwasha umeme katika Kituo cha Afya cha Bwina, Chato, mkoani hapa pamoja na taa za barabarani zinazotumia nguvu ya jua,…

Read More

Walemavu walalamika ombaomba kuondolewa

Hatua ya Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kutunga sheria ya kuwaondoa ombaomba jijini inapingwa na Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA), kikidai kutozingatiwa kwa hali na utu wa watu wenye ulemavu.  Manispaa ya Ilala imetunga sheria ndogo kupiga marufuku ombaomba katika mitaa ya katikati ya jiji na kuwatoza faini ya Sh 200,000 watu wanaowasaidia. Mwenyekiti wa…

Read More

MAISHA YANAPOKUPATIA LIMAU, TENGENEZA JUISI YA LIMAU (3)

Maisha ni mtihani, uufanye Ili mwanafunzi apande darasa kuna mtihani ambao atapewa ili aufanye, anaposhinda mtihani huo ndipo anapopata nafasi ya kupanda darasa, akishindwa anarudia darasa. Maisha vilevile yanatupa mitihani ambayo hatuna budi kuifanya. Anayekwepa mtihani wake hawezi kusonga mbele, maana yake anabaki pale alipo. Kuna aliyewahi kusema, usiache kujifunza, maana maisha hayajawahi kuacha kufundisha,…

Read More