Tiba ya kupumua hatari
Wakati viongozi wa dini nchini wakisisitiza umuhimu wa kuendelea kumuomba Mungu sambamba na kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona, COVID-19, mjadala wa gharama za matibabu nchini umeshika kasi. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari vya Gazeti la JAMHURI; hospitali za Aga Khan,…