‘Madalali’ Dar wawaliza wafanyabiashara Kariakoo

*Wapora mamilioni ya fedha wakijidai madalali wa mahakama *Wafanyabiashara waomba msaada Msimbazi, wanyimwa Dar es Salaam Na Aziza Nangwa Baadhi ya wafanyabiashara wa Gerezani, Kariakoo, wamelalamika kuvamiwa na watu wanaojitambulisha kama madalali wa mahakama na kuwapora mali bila sababu za msingi. Mmoja wa wafanyabiashara hao, Mohamedy Soli, ameliambia JAMHURI kuwa kwa miaka zaidi ya mitatu…

Read More

Furaha yatawala Soko la Chifu Kingalu 

DAR ES SALAAM Na ALEX KAZENGA Vicheko na furaha vimetawala kwa wafanyabiashara wadogo wenye vibanda (vioski) katika Soko la Chifu Kingalu lililopo Manispaa ya Morogoro, baada ya kodi yao kupunguzwa. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shigella, ametangaza hayo hivi karibuni baada ya wafanyabiashara wengi kuvifunga vioski. Kushushwa kwa bei za upangaji kutoka Sh 300,000…

Read More