Walivyojipanga kuihujumu SGR

*Waibua hoja zilizokufa wakati wa Rais Magufuli, masilahi binafsi yatangulia *Mawaziri, makatibu wakuu wameelewa, watendaji wapingana na sheria ya ununuzi *Mkono wa Kenya watajwa katika vita ya biashara ya reli kubeba mizigo ya majirani *Yadaiwa kuna kampuni zimejipanga kushinda zabuni zikwamishe ujenzi Tanzania Na Mwandishi Wetu Baada ya wiki iliyopita kuchapisha habari za jinsi baadhi…

Read More

Ugonjwa wa shinikizo la macho unaweza kusababisha upofu bila kuonyesha dalili

MBEYA NA MWANDISHI WETU Kutokana na ukosefu wa utaratibu wa watu kumuona daktari ili kuchunguzwa na kufanyiwa vipimo mapema (check-up), watu wengi hujikuta wakishindwa kugundulika matatizo yao mapema na kujikuta wakifika hospitalini katika hatua mbaya na za mwisho.  Ili kuthibitisha hilo, unakumbuka ni lini ulifika kwa daktari wa macho kwa ajili ya uchunguzi wa macho…

Read More