Mjue Meja Jenerali aliyefungua milango kwa wanawake JWTZ 

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Ni jambo jema kufanya kitu chenye masilahi mapana kwa nchi yako. Kama hivyo ndivyo, ninaomba tusafiri sote kupitia maandishi ya makala hii ili kumfahamu Meja Jenerali Zawadi Madawili. Madawili ni mwanamke wa kwanza hapa nchini kuhudumu katika cheo kikubwa cha Meja Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)….

Read More

Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani

Na Deodatus Balile Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono inapotawala katika jamii.  Kwa sasa kuna minong’ono mingi. Minong’ono imeanza baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani mkopo wa Sh trilioni 1.3, alioukopa kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na akatangaza miradi lukuki itakayotekelezwa kwa kutumia…

Read More

Kusaka kupendwa kumeiumiza nchi

Jiji la Dar es Salaam, na bila shaka majiji na miji mingine, hali ya ustaarabu mitaani imerejea. Mitaa inapitika na thamani kwa waenda kwa miguu imerejeshwa. Bahati nzuri Watanzania wengi ni waelewa. Wapo waliodhani mpango wa kuwaondoa wamachinga katika maeneo yasiyostahili usingefanyika kwa utulivu.  Tunashukuru wengi walielewa, hivyo hapakuwapo vuta nikuvute mbaya. Hii ina maana…

Read More