Urusi ngangari

*Yatikisa uchumi wa Marekani kwa ngano, mafuta *Ujerumani yakalia kuti kavu, uchumi hatarini kuporomoka *Bara la Ulaya linategemea gesi kwa asilimia 40 *Putin abadili gia, auza gesi kwa Ruble, hisa zake zapanda DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati Rais wa Urusi, Vladmir Putin, akitangaza kumalizika kwa awamu ya kwanza ya ‘operesheni ya kijeshi’ nchini…

Read More

Benki yadaiwa kugeuka mumiani

*Yajipanga kuipiga mnada ‘nyumba ya Serikali’ *Ni kinyume cha vipengele vilivyowekwa kisheria *Mfanyabiashara adai mkopo wageuzwa ndoana DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Nyumba iliyokuwa ikimilikiwa na serikali imo hatarini kupigwa mnada kwa kile kinachodaiwa kuwa mmiliki wake kushindwa kulipa mkopo aliouchukua benki; JAMHURI limebaini. Nyumba hiyo iliyopo katika Kitalu Na. 1829, Msasani Peninsula, Dar…

Read More

Ofa ya Rais yapokewa tofauti

DAR ES SALAAM  Na Aziza Nangwa Kauli ya ofa iliyotolewa wiki iliyopita na Rais Samia Suluhu Hassan kwa wapangaji wa Magomeni Kota imepokewa kwa mitazamo tofauti; JAMHURI limeambiwa. Akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa nyumba za Magomeni Kota wiki iliyopita, Rais Samia amesema ameridhia ombi la kuwafanya wawe wapangaji – wanunuzi, na kwamba wanaweza…

Read More

Wanaharakati Afrika wakutana  Dakar kuizungumzia Palestina

Na Nizar K Visram (Canada) Machi 10 hadi 12, mwaka huu wanaharakati kutoka nchi za Afrika wamekutana Dakar, Senegal.  Hawa ni wawakilishi wa makundi kutoka Botswana, Cameroon, Cote d’Ivoire, DR Congo, Gambia, Ghana, Guinea-Bissau, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia, Tunisia,  Zambia, Malawi, Sudan, Tanzania, Senegal, Nigeria, Zimbabwe, Kenya na Afrika Kusini. Makundi haya yanaungana chini ya…

Read More