CAG akagua fedha za wahujumu uchumi 

*Ni za wale waliokiri makosa, wakalipa faini kwa DPP, sasa yadaiwa fedha hazikwenda serikalini *Ofisa mmoja adaiwa kuchukua kodi ya nyumba iliyotolewa serikalini kwa ‘plea bargaining’ *Wadau waomba fedha za kikosi kazi nazo zikaguliwe DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ameanzisha ukaguzi wa fedha…

Read More

MANUSURA MAUAJI YA KIMBARI: ‘Nimeshamsamehe aliyemuua mume wangu’

KIGALI, RWANDA Unapaswa kuwa na upendo ili upone; ndivyo anavyoamini mwanamke huyu ambaye si tu kwamba amekwisha kumsamehe mtu aliyemuua mumewe miaka 28 iliyopita, lakini pia amekubali kijana wake kumuoa binti wa aliyekuwa ‘mbaya wake’! Mwanamke huyu, Bernadette Mukakabera, amekuwa akihadithia yaliyomkuta kama sehemu za juhudi za Kanisa Katoliki kutafuta upatanishi miongoni mwa jamii iliyosambaratika…

Read More