Loliondo yametimia

NGORONGORO Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema mvutano uliopo Pori Tengefu la Loliondo mkoani Arusha kati ya serikali na baadhi ya wananchi wanaoungwa mkono na asasi zisizo za kiraia, una vimelea vya uchochezi kutoka kwa raia wa kigeni. Amewataka raia hao wa kigeni wanaokuja nchini kuishi wafuate na kuheshimu sheria za nchi. Ingawa…

Read More

Mastaa Bongo Fleva wanaowasha moto katika tamthiliya

NA CHRISTOPHER MSEKENA Licha ya soko la filamu za hapa nyumbani kuyumba lakini tamthiliya zinaendelea kubaki katika ramani na kujizolea wafuasi wengi wanaofuatilia visa na mikasa inayopatikana ndani yake. Ongezeko la tamthiliya limetoa nafasi kwa wasanii mbalimbali, wakubwa kwa wadogo kushiriki na kuonyesha uwezo wao huku wakijipatia kipato cha kupoza machungu ya janga la anguko…

Read More