Jamhuri

Mudathir Yahya akabidhiwa masandawana

Na isri Mohamed Afisa Habari wa klabu ya Yanga, Ali Kamwe amemtangaza Kiungo wao Mudathir Yahya kuwa ndiye nyota wa mchezo wao dhidi ya Mamelod Sundowns utakaochezwa Jumamosi ya Machi 30, katika dimba la Mkapa. Kamwe amesema kutokana na kiwango bora cha mfululizo alichokionesha Mudathir wamemua kumpa heshima ya mchezo huo na kuupa jina la…

Read More

ACT-Wazalendo yataka NEC ijiuzulu

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ijiuzulu yote kupisha kuundwa kwa Tume Mpya itakayopatikana kwa utaratibu wa ushindani. Aidha chama hicho kimetaka Mapendekezo yaliyoainishwa na Tume ya Haki Jinai yafanyiwe kazi ili kuvifanyia maboresho vyombo vya ulinzi na usalama hasa Jeshi la Polisi…

Read More