Jamhuri

Polisi Kigoma yanasa bunduki 16 za kivita kwenye msako

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Polisi mkoani Kigoma imefanikiwa kukamata jumla ya bunduki 16 aina mbalimbali zikihusishwa kutumika kwenye matukio ya uhalifu mkoani humo huku watu 13 wakikamatwa kwa tuhuma za kumiliki bunduki hizo. Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Filemon Makungu akitoa taarifa kwa waandishi wa habari mjini amesema kuwa bunduki hizo zilikamatwa katika kipindi…

Read More

Majaliwa : Miaka 60 ya Mapinduzi yazipaisha sekta za elimu na afya

*Ampongeza Rais Dkt. Mwinyi kuyatekeleza malengo ya Mapinduzi kwa vitendo *Asema lazima yalindwe, yaheshimiwe na historia irithishwe kwa vizazi vyote *Asisitiza yalifanyika baada ya kuchoshwa na ubaguzi na utawala wa kikoloni *Asema uhuru tulionao sasa umetokana na ndugu zetu waliojitoa muhanga Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia MAADHIMISHO ya kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika Januari…

Read More