Jamhuri

Mafunzo usalama barabarani kuzifikia wilaya zote Tanga, madereva bodaboda kunufaika

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tanga Mafunzo ya Usalama barabarani yanayotolewa na Amend Tanzania kwa ufadhili wa Ubalozi wa Uswisi nchini kwa madereva bodaboda jijini Tanga sasa yanatarajiwa kutolewa katika wilaya zote za Mkoa wa Tanga ,lengo likiwa kuwafikia madereva wengi zaidi wa bodaboda. Hayo yamesemwa na Ofisa Miradi wa Taasisi ya Amend Tanzania Ramadhan Nyanza wakati…

Read More

Dk Biteko ashiriki sherehe ya kuwekwa wakfu na kusimikwa askofu mpya Jimbo Katoliki la Mafinga

📌 Asema Rais Samia anaendelea kutoa ushirikiano kwa madhehebu ya Dini 📌 Asisitiza utunzaji wa mazingira 📌 Ampongeza Dkt. Samia kwa kuendesha nchi kwa utulivu na kasi ya maendeleo 📌 Atoa neno kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mafinga Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemwakilisha Rais,…

Read More

Dhahabu kilo 9 iliyokuwa inatoroshwa yakamatwa Mbeya

–Waziri Mavunde aingia mtaani na kikosi kazi kwenye eneo la maficho –Aupongeza uongozi mkoa na vyombo vya usalama –Aagiza kusimamisha leseni za biashara ya madini za watuhumiwa –Dhahabu iliyokamatwa ina thamani ya Sh 1,555,476,586 –Serikali ingepata mapato ya Sh 144,659,322 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia wafanyabiashara wa madini 10…

Read More