Jamhuri

TPA yaweka wazi mikakati kuimarisha ushirikiano na nchi jirani zinazotumia Bandari ya Karema

Na Mwandishi Wetu, Katavi Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imefanya jitihada mbalimbali za kufanya vikao na wadau mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara kutoka nchi jirani ambazo zinatumia bandari ya kimkakati ya Karema. Lengo la kufanyika kwa vikao hivyo ni kuendeleza ushirikiano wa kibiashara kwa kuitumia bandari hii ombi ambao lilikubaliwa likiambatana na changamoto walizowasilisha wadau…

Read More