Jamhuri

Watoto 11,000 huzaliwa na seli mundu kila mwaka nchini

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amezindua huduma za upandikizaji uloto Katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)huku akieleza kuwa Serikali imewekeza shilingi bilioni 2.7 kwenye  huduma hiyo kwa lengo la kuwasaidia watanzania wa hali zote.  Amesema hayo leo Jumatano, Mei 10, 2023 wakati akizungumza na wananchi…

Read More

Tume ya Haki za binadamu kuchunguza upya utata wa kifo cha Mwanafunzi wa UDOM.

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma  Kufuatia taharuki inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kuhusu kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Nusura Hassan Abdalla,Tume ya haki za binadamu na utawala bora imeazimia kufanya uchunguzi  huru kubaini ukweli wa tukio hilo . Kifo cha mwanafunzi huyo kinahusishwa na tukio la…

Read More

JESHI LA POLISI TANZANIA LAMUAGA RASMI SIRRO. Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Jeshi la Polisi Nchini limemuaga rasmi aliyekuwa Mkuu wa Jeshi hilo Simon Nyankoro Sirro baada ya kumaliza utumishi wake katika Jeshi hilo. Akiongea na waandishi wa habari leo mei 10 2023 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam DPA Sirro amesema…

Read More

Makondo aongoza timu ya utoaji misaada ya kisheria vuzuizini Kondoa na Chemba.

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Katibu Mkuu wa Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo ameongoza timu ya wataalam kutoka taasisi mbalimbali wanaoshiriki katika kampeni ya utoaji wa msaada na huduma za kisheria inayoitwa Mama Samia Legal Aid Campaign iliyotembelea maeneo ya vizuizi katika Wilaya za Kondoa na Chemba jana Tarehe 09/05/2023. Akiambatana na wataalam kutoka Ofisi ya…

Read More

Makamba afanya mazungumzo na kampuni zitakazotekeleza mradi wa LNG

Na Mwandishi Wetu,JAMHURI MEDIA. Dodoma Waziri wa Nishati, January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni zitakazotekeleza Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi ya Asilia (LNG). Makamba amekutana na viongozi hao ambao ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Medco Energi, Roberto Lorato, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Pavilion Energy ltd, Alan Heng pamoja…

Read More