Jamhuri

Serikali Pwani yakemea uchomaji misitu kiholela

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani SERIKALI mkoani Pwani, imekemea tabia ya uchomaji moto misitu ,unaofanywa kwenye baadhi ya maeneo ,kwani kwa kufanya hivyo ni kusababisha uharibifu mkubwa wa mazingira. Mkoa huo ni miongoni mwa mikoa inayoshamiri kwa changamoto ya uharibifu mkubwa wa mazingira suala ambalo linahitaji msukumo wa kudhibiti uchomaji moto misitu. Mkuu wa mkoa…

Read More

Katibu Mkuu Nishati afanya kikao na wawakilishi kutoka Energy Cards

📌 Inajishughulisha na kutoa ushauri Sekta ya Nishati Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na Wataalam kutoka Taasisi ya Energy CARDS ambao walifika ofisini kwake kwa ajili ya kutambulisha shughuli wanazozifanya. Katika kikao kilichofanyika tarehe 7 Machi, 2024 jijini Dar es Salaam, Wataalam hao walieleza kuwa Taasisi hiyo inajishughulisha na masuala…

Read More