Jamhuri

‘Marufuku kuondoa wagonjwa NHIF wodini’

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amepiga marufuku vituo binafsi kuwaondoa wodini wagonjwa ambao ni wanachama wa NHIF, mara baada ya saa 48 kupita tangu kutolewa kwa taarifa ya APHFTA. Amesema kufanya hivyo ni kuvunja sheria ya madaktari, madaktari wa meno na wataalam wa afya shirikishi Sura ya 152, inayowataka madaktari kutositisha huduma kwa wagonjwa ambao…

Read More

TAKUKURU kuziburuza mahakamani AMCOS daiwa

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU) wilayani Chato mkoani Geita, imetishia kuviburuza mahakamani vyama vya msingi (Amcos) vinavyodaiwa kupora hela za Chama Kikuu cha ushirika cha “Chato Co-operative Union (CCU). Aidha imeagiza kupewa nyaraka zote za kupokea fedha na namna zilivyotumika katika msimu wa kilimo wa mwaka 2023/24 na…

Read More