Jamhuri

Waziri Simbachawane aitaka TAKUKURU kuwadhibiti wachezeaji rasilimali za nchi

Na Lusungu Helela, JamhuriMedia, Iringa  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU kudhibiti mianya ya rushwa katika fedha za miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa na serikali nchini ili kuhakikisha thamani ya fedha inaonekana. Ametoa kauli hiyo  leo alipotembelea…

Read More

Mtindo mpya wa kutalii unavyoipaisha Hifadhi ya Mikumi

Na Alex Kazenga, JamhuriMedia, Morogoro Urahisi wa kuwaona tembo, simba, twiga na chui katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi kimekuwa kichocheo kwa watalii wa nje kuitembelea wengi wakitokea Zanzibar, Jamhuri limeelezwa. Kamanda wa hifadhi hiyo, Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Augustine Masesa akizungumza na vyombo vya habari hivi karibuni ofisini kwake amesema kwa kipindi kirefu watalii…

Read More