Jamhuri

Matukio ya Waziri Mkuu akiwa bungeni

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, Bungeni jijini Dodoma, Februari 14.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Februari 14.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa…

Read More

GST kurusha ndege nyuki Mirerani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kwa kushirikiana na Kampuni ya Tukutech Company Ltd kutoka Tanzania, Zanifi Enterprise Ltd kutoka Zambia na Radai OY kutoka Finland zinakusudia kurusha ndege nyuki (drone) angani kwa ajili ya kufanya majaribio ya utafiti wa miamba na madini katika eneo la Mirerani kwa…

Read More