Jamhuri

Hauwezi kumfuga mbwa ukamkataza kubweka

Unapomfuga mbwa lazima atabweka tu, kwa sababu kubweka ni moja ya sehemu ya makuzi yake. Mimi ni mbwa niliyefugwa na taifa hili, ni lazima nibweke, siasa si uadui, isipokuwa hoja. Siasa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Mwanafalsafa Hegel anasema: “Binadamu ni mnyama wa kisiasa.” Hizi siasa za kushambuliana kwa mapanga na risasi ni siasa zinazopandikiza…

Read More

MAISHA NI MTIHANI (2)

Kutawala ulimi ni mtihani. Unapofungua mdomo kuzungumza ni kama unawafungulia watu albamu ya maisha yako, nao huo ni mtihani. Wataalamu wa mawasiliano wanatwambia kuwa mtu wa kawaida kwa wastani kwa siku anaweza kusema maneno ambayo yatajaa kurasa 20 zenye nafasi ya mstari mmoja. Ina maana kuwa midomo yetu yaweza kutoa maneno ya  kujaza vitabu viwili vya…

Read More

Nchi haiwezi kuendelea kwa kupangiana muda wa kulala

Napongeza uamuzi wa kutazamwa upya msimamo wa safari za usiku kwa magari, hasa mabasi. Uamuzi wa kuzuia mabasi kusafirisha abiria usiku ulitolewa wakati wa uongozi wa Serikali ya Awamu ya Pili kama suluhisho la ajali za mabasi kwa nyakati hizo. Aliyetangaza uamuzi huo ni Waziri Mkuu wa wakati huo, mzee John Malecela. Ukiacha sababu ya…

Read More

Jinsi ya kuwa na fikra kubwa (2)

Jiweke karibu na vitu vinavyoongeza uwezo wa kufikiri. Ukitaka kuongeza fikra zako lazima utumie vitu vinavyokuingizia fikra kichwani kwako. Lazima uongeze maarifa. Na njia pekee ya kuongeza maarifa na ufahamu ni kujifunza kila siku. Soma vitabu, soma makala mbalimbali, soma magazeti yenye mafunzo na taarifa sahihi (siyo ya udaku), tazama video za youtube zinazofundisha na…

Read More

Hiari na dhima havitangamani moyoni 

Moyo ni kiungo kimojawapo cha mwili wa binadamu. Vipo viungo vingi mwilini vikiwamo figo, ini, pafu na vinginevyo. Moyo wa binadamu daima hufikwa na madhila ya raha na tabu katika muda wote wa uhai. Shida, simanzi, raha na misukosuko ni mambo yanayopita ndani ya moyo wa binadamu. Moyo wa binadamu hupata mitihani aina mbalimbali, kadhalika…

Read More

Yah: Hizi Tv Online zina maudhui gani?

Kwanza, nikiri wazi kwamba sizungumzii Tv Online zote, la hasha! Zipo ambazo unatamani kuzifuatilia kwa jambo lolote makini na zipo ambazo zinajibainisha kuwa ni za watu makini, lakini huo ujinga ambao unaupata kila unapojiunga nao, kwa kweli ninashauri tuangalie upya jinsi ambavyo wamepata vibali vya kurusha hayo matangazo yao. Leo nina miaka dahari kidogo, kwa…

Read More