Polisi aiba bandarini
*CCTV Camera alizofunga Injinia Kakoko zamuumbua *Tukio lake lazua tafrani kubwa, IGP Sirro alishuhudia *Bandari sasa kama Ulaya, imefungwa kamera 486 *Polisi wafanya mbinu kumtetea mwenzao, wagonga mwamba Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam Mfumo mpya wa ulinzi aliouanzisha katika Bandari ya Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu, Mhandisi Deusdedith Kakoko, umemnasa askari Polisi aliyekabidhiwa jukumu…