Author Archives: Jamhuri

Kiswahili ni lugha yetu, vipi tunakibananga? (2)

Hakika Kiswahili kilipata heshima, upendo na hifadhi kubwa kutoka wenyewe na wageni kutoka nchi za nje. Wageni hawa waliamua ku katika maandishi. Yaani vitabu viliandikwa na kuchapishwa, watu w kuvitunza. Vitabu vya mwanzoni viliandikwa kwa hati za Kirumi. Wamisionari w kuendesha dini ya Ukristo Afrika ya Mashariki. Miongoni mwa waan Padri Edward Steere na Dk. Ludwig Kraft. Padri Steere amekiri ...

Read More »

Ndugu Rais shangazi kutangulia sikupi pole

Sehemu ya kwanza, nilieleza kuwa wanahistoria wanasema hadi karne ya 17 (miaka ya 1600 AD), duniani hapakuwapo kitu kinachoitwa au kinachojulikana kama CHAMA CHA SIASA tangu enzi za Wagiriki. Endelea….   Enzi za utawala wa Warumi (The Roman Empire) kulikuwa na mfumo wao wa utawala ambao haukuwa tofauti na ule wa Wagiriki. Warumi nao walikuwa na mfumo wa wawakilishi. Nao ...

Read More »

UJAMAA SI UBAGZI

Ujamaa hauna uhusiano na ragi, wala nchi atokayo mtu. Mtu yeyote mwenye akili, mwenye kuamini Ujamaa au asiyeamini, anafahamu kwambawako waminio Ujamaa katika nchi za Kibepari, na wanaweza kupatikana waaminio Ujamaa kutoka nchi za Kibepari. Mara nyingi watu wa namna hiyo wanakuja kufanya kazi katika nchi changa zilizo na siasa ya Ujamaa kama Tanzania, kwa sababu wanakerekwa na ubepari wa ...

Read More »

Step-By-Step Core Aspects In Bestdnatest org

Finding Genealogical DNA Test on the Web Obesity lots of people see INNATE testing for your way to improve the well-being of enormous segments around the planet inexpensively, in comparison with the sociable and fiscal expenses regarding disease. It is usually feasible to complete prenatal innate testing to acquire a prenatal hereditary diagnosis. Sure, genetic examining is comparatively new, and ...

Read More »

WARNING! 3 Common LIES Present in 60% off Online Dating Information (2 Are Done VIRTUALLY ALL By MALES! )

Generate Your Spousal relationship Relationship Charming It usually is so sad in case it feels as though ones conjunction will not be doing exercises. Let us face it: relationships are actually tough! It’s not possible easy to at all times get along with any guy as well as woman you like. Though “the end” doesn’t have for being your result. ...

Read More »

Tunatoa Pole kwa Mama Mzazi wa Mbunge ‘Sugu’ Ambaye Amefarik Dunia Jana

Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu (CHADEMA), amefariki dunia jana Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alikokuwa akipatiwa matibabu. Uongozi wa Jamhurimedia unatoa pole kwa mbunge Sugu pamoja na Familia yake, Mungu hawaongoze kwenye kipindi hiki Kigumu.  

Read More »

Magazetini Leo, Agosti, 27, 2018

Good Morning Mtu wangu wa nguvu !! kutoka DSM Tanzania leo August 27, 2018 nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.

Read More »

Investigating Painless Plans Of Foreign Bride

International Dating: the Ultimate Convenience! In some instances ladies were hired dependent on his or her physical appear, with an concentration put on childhood and virginity. If a person isn’t thinking about you then you should learn to just do it. Men disguising as females run the vast majority of cons. There are countless women to satisfy and you would ...

Read More »

No-Hassle Advice In Buying a Bride – What’s Required

My relationship was joyful. Developing a productive marriage isn’t very always the simplest thing to do. Featuring a nutritious and content marriage is merely one of the fantastic success stories involving life. Things You Should Know About Find Love Save your valuable relationship if you’re able to. Although the romance ends, the feeling of love nonetheless continues. https://brightbrides.org/mail-order-brides-reviews/victoriadates Lots of ...

Read More »

WAKILI Jeremiah Mtobesya aliyekuwa akiwawakilisha Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake nane wa chama hicho, amejitoa kwenye kesi hiyo leo Agosti 23 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri. Mtobesya amejitoa katika kesi hiyo baada ya Mahakama ya Hakimu Kisutu kutupilia mbali maombi yao ya kutaka kesi hiyo ya jinai namba 112 ya ...

Read More »

WASANII ASLEY , SHILOLE WASAINI NA TTCL KUNOGESHA KAMPENI YA RUDI NYUMBANI KUMENOGA

  Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Bw. Waziri Kindamba (kulia) akibadilishana hati ya mkataba na msanii Zuena Mohamed maarufu kama Shilole ‘Shishi Baby’ (kushoto), mara baada ya kusaini mkataba huo. Mkataba huo ambao pia msanii Asley Isihaka maarufu kama Dogo Asley amesaini na kampuni hiyo, waasanii hao wameingia makubaliano kushiriki katika Kampeni kubwa ya Rudi Nyumbani Kumenoga itakayoshirikisha Mikoa yote ya ...

Read More »

Upinzani Kongo – DRC kusimamisha mgombea mmoja

Vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) vinakamilisha utaratibu kumteua mgombea mmoja watakayemkabidhi jukumu la kupeperusha bendera katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini humo Desemba 23, mwaka huu. Kiongozi wa Chama cha UDPS, Felix Tshisekedi, Vital Kamerhe wa UNC na Freddy Matungulu wa BISCO walikuwa miongoni mwa viongozi wakuu kutoka vyama vya upinzani waliokuwepo katika kikao hicho ...

Read More »

Maajabu ya mji uliozama baharini kisiwani Mafia

DAR ES SALAAM NA JUMA SALUM Awali ya yote naomba nikuhakikishie ndugu msomaji kuwa hii si hadithi ya kusadikika au tuseme ni stori ya kutunga, hii ni habari ya kweli ambayo haikujulikana kwa miaka mingi na kwa watu wengi. Kutojulikana kwa jambo kunatokana na tatizo kubwa linalotokana na kutoandikwa kwa historia ya Kisiwa cha Mafia kulinganisha na historia ya visiwa ...

Read More »

Asili ya vyama vya siasa

Hapa nchini Tanzania nadhani hata huko ughaibuni kwenye nchi zinazojulikana kama za ulimwengu wa kwanza, wananchi wanazungumzia uwepo wa vyama vya siasa na demokrasia. Vyama vyenyewe kwa asili yake vilianza wapi na vilianza namna gani katika nchi zile, haijaelezwa wazi. Wale wenzetu walioendelea kule Magharibi bado wanaamini wana wajibu wa kuviangalia vyama vya siasa katika nchi huru za Afrika. Ndiyo ...

Read More »

Ndugu Rais kwa unyama huu toa kauli

Ndugu Rais, unyama unaofanywa na baadhi ya polisi katika nchi yetu unazidi kuongezeka kila uchao. Leo tunashuhudia unyama huu ukifanywa na polisi hawa au yule, kesho tunashuhudia unyama mkubwa zaidi. Habari sasa ni polisi na unyama na unyama na polisi. Polisi wema katika jeshi letu la polisi wapo na hao ndio wengi zaidi. Polisi wenye roho za kinyama wapo, lakini ...

Read More »

Kiswahili ni lugha yetu, vipi tunakibananga?

Na Angalieni Mpendu Historia inatueleza kuwa Kiswahili ni lugha kongwe miongoni mwa lugha mama nyingi zilizopo hapa nchini. Ni lugha adhimu, nadhifu na ni titi lisilokwisha hamu. Lakini baadhi ya Watanzania wanakibananga katika utumizi wake. Iwe katika msingi wa ujeuri, ujinga au dharau. Lugha ya Kiswahili imetusaidia Watanzania kuelewana, kushikamana na kuwa wamoja kutoka taifa la kunyanyaswa, kuonewa na kutawaliwa ...

Read More »

Kutotoa matunzo ya mtoto kifungo ni miezi sita

Na Bashir Yakub Wako watu bado wanalichukulia suala la kutoa mahitaji kwa mtoto kama suala la madai ya kawaida. Wanadhani ni suala ambalo linamhusu mama mzazi na ba basi, wao kama wao tu. Kwa maana ni suala la kuzungumza tu na likaisha kwa maelewano yoyote yale. Kama bado una mtazamo wa aina hii juu ya suala hili, basi unahitaji kubadilika. ...

Read More »

Uongozi Bora

(d) Uongozi Bora TANU inatambua umuhimu wa kuwa na Uongozi Bora. Tatizo lililopo ni ukosefu wa mipango maalum ya kuwafundisha Viongozi, na kwa hiyo Ofisi Kuu ya TANU ni budi itengeneze utaratibu maalum kuhusu mafundisho ya Viongozi tangu wa Taifa zima hadi Mabalozi ili wailelewe siasa yetu na mipango ya uchumi. Viongozi ni lazima wawe mfano mzuri kwa wananchi kwa ...

Read More »

Bobi Wine kufikishwa mahakama ya kijeshi leo.

Mbunge ambaye aliwahi kuwa mwanamuziki nchini Uganda Robert Kyagulanyi jina maarufu Bobi Wine leo anatarajiwa kurudishwa katika mahakama ya kijeshi mjini Gulu kaskazini mwa Uganda. Taarifa hiyo imewashtua mawakili wake ambao awali walijuzwa kuwa kesi itasikilizwa katika kambi ya kijeshi ya Makindye anakozuiliwa mjini Kampala. Wakati huo huo Mtandao wa haki za binadamu za wanahabari nchini Uganda umetoa saa 48 ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons