Author Archives: Jamhuri

Microchip ya Mo

Watu waliomteka Mohammed Dewji, maarufu kama Mo, walidhani hawatafahamika ila inaonekana walikosea kusuka mpango wao wa utekaji na sasa mambo yameanza kuwatumbukia nyongo, JAMHURI limefahamu. Vyanzo vya habari kutoka Uingereza, Afrika Kusini, Marekani na hapa nchini vimeliambia JAMHURI baada ya kuchapisha habari kuwa Mo ana microchip iliyorekodi tukio la kutekwa kwake, kuwa mataifa makubwa hayataki dunia irejee katika enzi za ...

Read More »

Rashid Malima sasa yametimia

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kumsaka aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kukuza Maendeleo Vijijini (PRIDE Tanzania), Rashid Malima. Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, John Mbungo, amesema Malima (65), anakabiliwa na tuhuma za kuchota Sh bilioni 1.8 ambazo ni mali ya PRIDE. Habari za kufilisika kwa PRIDE zilianza kuandikwa kwa undani zaidi na JAMHURI kuanzia toleo ...

Read More »

Mtishia maisha vikongwe akamatwa Magu

Mkuu wa Wilaya (DC) ya Magu mkoani Mwanza, Dk. Philemon Sengati, ameamuru kukamatwa kwa mkazi wa Kijiji cha Shilingwa, Julius Makolobela, anayetuhumiwa kuwatishia maisha wananchi katika eneo hilo. Uamuzi wa DC Sengati umekuja siku moja baada ya Gazeti la JAMHURI kuandika kwa urefu matukio ya wananchi kuuawa, kujeruhiwa na wengine kukimbia kijiji hicho na kwenda kuishi kwa diwani wakihofia kuuawa. ...

Read More »

Tanzania inaelekea wapi?

Serikali ya Awamu ya Kwanza chini ya uongozi wa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ilifanya kazi kubwa ya kutuunganisha Watanzania ambao tunaishi kama ndugu bila chembe yoyote ya ubaguzi. Maisha yetu ya kupendana, kuthaminiana na kuheshimiana bila kuangalia tofauti za makabila au uwezo wa kiuchumi alionao mtu ndiyo mazao ya amani na utulivu tulionao hadi leo. Kwa ...

Read More »

Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (4)

Wiki iliyopita makala hii iliishia katika aya iliyosema; (Raila) Odinga mwenyewe na Najib Balala (Waziri wa sasa wa Utalii), waliwakilisha masilahi ya Mkoa wa Pwani, huku Kalonzo na Charity Ngilu wakiwakilisha masilahi ya Ukambani. (William) Ruto (kabla hawajafarakana), aliyekuwa ameuacha Ukatibu Mkuu wa KANU, aliuwakilisha vema Mkoa wa Bonde la Ufa katika chombo hicho na kuzoa kura nyingi za kabila ...

Read More »

Mwanamke usipuuze maumivu ya kiuno, mgongo yasiyokoma

Wiki iliyopita nilipokea ujumbe mfupi kwa njia ya simu kutoka kwa Rose (si jina lake halisi), mmoja wa wasomaji wangu wa safu hii ukisema hivi: “Samahani daktari, mwaka mmoja uliopita nilipimwa na kugundulika kuwa nina uvimbe kwenye ovari ya kushoto. Baadaye nikapata ujauzito ambao kwa bahati mbaya uliharibika ukiwa na miezi minne. “Kuanzia wakati huo baada ya mimba kuharibika nimekuwa ...

Read More »

Kucheleweshwa mbolea kulivyoathiri mazao

Wakati Rais John Magufuli akisisitiza mara kadhaa kwamba serikali haitatoa chakula cha msaada kwa watakaokabiliwa na njaa, mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mazao yameharibika kutokana na mbolea za kukuzia kutofika kwa wakati kwa wakulima. Rais Magufuli aliendelea kusisitiza kuwa serikali haitatoa chakula cha msaada kwa watakaopatwa na njaa ilhali wanaweza kuzalisha chakula katika maeneo yao. Kauli hiyo aliitoa hivi karibuni ...

Read More »

Ndugu Rais karibu mezani

Ndugu Rais, Bwana Yesu alipoona saa yake imekaribia aliwaambia wanafunzi wake waandae meza apate kula nao chakula cha mwisho. Angeweza kuwaaga kwa namna nyingine yoyote, lakini aliandaa meza. Namshukuru Mungu kuniwezesha kuingia katika chumba ilipoandaliwa meza kwa ajili ya chakula cha mwisho. Mwenyezi Mungu ambariki yeye na nyumba yake mwanamwema yule aliyeniwezesha kuikanyaga ardhi ya nchi ya ahadi. Nchi takatifu, ...

Read More »

‘If you can’t fight them, join them’

Huu ni usemi wa wahenga Waingereza hapo kale. Asili yake sijaifahamu sawa sawa, lakini ni usemi unaotumika sana. Nia au shabaha ya usemi huu ni ushauri kwa makundi hasimu, kupata suluhisho la kudumu maana kupambana daima ni ishara ya mvurugano na kutoweka kwa amani. Ni nani asiyependa kuishi kwa amani na mstarehe ajipatie maendeleo yake mwenyewe? Usemi kuwa “iwapo huwezi kupigana ...

Read More »

Hauwezi kumfuga mbwa ukamkataza kubweka

Unapomfuga mbwa lazima atabweka tu, kwa sababu kubweka ni moja ya sehemu ya makuzi yake. Mimi ni mbwa niliyefugwa na taifa hili, ni lazima nibweke, siasa si uadui, isipokuwa hoja. Siasa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Mwanafalsafa Hegel anasema: “Binadamu ni mnyama wa kisiasa.” Hizi siasa za kushambuliana kwa mapanga na risasi ni siasa zinazopandikiza chuki ya kudumu kwa kizazi ...

Read More »

MAISHA NI MTIHANI (2)

Kutawala ulimi ni mtihani. Unapofungua mdomo kuzungumza ni kama unawafungulia watu albamu ya maisha yako, nao huo ni mtihani. Wataalamu wa mawasiliano wanatwambia kuwa mtu wa kawaida kwa wastani kwa siku anaweza kusema maneno ambayo yatajaa kurasa 20 zenye nafasi ya mstari mmoja. Ina maana kuwa midomo yetu yaweza kutoa maneno ya  kujaza vitabu viwili vya kurasa 300 kila mwezi, vitabu ...

Read More »

Nchi haiwezi kuendelea kwa kupangiana muda wa kulala

Napongeza uamuzi wa kutazamwa upya msimamo wa safari za usiku kwa magari, hasa mabasi. Uamuzi wa kuzuia mabasi kusafirisha abiria usiku ulitolewa wakati wa uongozi wa Serikali ya Awamu ya Pili kama suluhisho la ajali za mabasi kwa nyakati hizo. Aliyetangaza uamuzi huo ni Waziri Mkuu wa wakati huo, mzee John Malecela. Ukiacha sababu ya ajali, sababu nyingine iliyokuwapo, japo ...

Read More »

Jinsi ya kuwa na fikra kubwa (2)

Jiweke karibu na vitu vinavyoongeza uwezo wa kufikiri. Ukitaka kuongeza fikra zako lazima utumie vitu vinavyokuingizia fikra kichwani kwako. Lazima uongeze maarifa. Na njia pekee ya kuongeza maarifa na ufahamu ni kujifunza kila siku. Soma vitabu, soma makala mbalimbali, soma magazeti yenye mafunzo na taarifa sahihi (siyo ya udaku), tazama video za youtube zinazofundisha na kuhamasisha, jikutanishe na watu wenye ...

Read More »

Hiari na dhima havitangamani moyoni 

Moyo ni kiungo kimojawapo cha mwili wa binadamu. Vipo viungo vingi mwilini vikiwamo figo, ini, pafu na vinginevyo. Moyo wa binadamu daima hufikwa na madhila ya raha na tabu katika muda wote wa uhai. Shida, simanzi, raha na misukosuko ni mambo yanayopita ndani ya moyo wa binadamu. Moyo wa binadamu hupata mitihani aina mbalimbali, kadhalika hupata majawabu mbalimbali, matamu na ...

Read More »

Yah: Hizi Tv Online zina maudhui gani?

Kwanza, nikiri wazi kwamba sizungumzii Tv Online zote, la hasha! Zipo ambazo unatamani kuzifuatilia kwa jambo lolote makini na zipo ambazo zinajibainisha kuwa ni za watu makini, lakini huo ujinga ambao unaupata kila unapojiunga nao, kwa kweli ninashauri tuangalie upya jinsi ambavyo wamepata vibali vya kurusha hayo matangazo yao. Leo nina miaka dahari kidogo, kwa ufupi mimi ni mtu mzima ...

Read More »

Kupotea nyaraka inayohitajika mahakamani kama ushahidi

Inaweza kuwa nyaraka muhimu kama hati ya nyumba, mkataba wa mauziano au mkataba mwingine wowote, wosia, kadi ya gari au ya mashine yoyote, hati ya kusimamia mirathi, cheti cha ndoa au vyeti vinginevyo na nyaraka nyingine mbalimbali. Nyaraka hii inaweza kuwa inatakiwa sehemu muhimu kama mahakamani ili kuthibitisha shauri au kesi yako. Na inaweza ikawa ni nyaraka ambayo kuwepo kwake ...

Read More »

Ya Wema Sepetu yanaibua maswali

Uamuzi wa Serikali, kupitia Bodi ya Filamu, kumfungia Wema Sepetu kujihusisha na masuala ya filamu kwa muda usiyojulikana kutokana na kuvuja kwa video yake ya ngono ni suala linalozua maswali. Kwanza, nakubaliana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Godfrey Mngereza, anayeshuku unafiki wa Wema kuomba msamaha kwa kuvuja kwa video hiyo kwa sababu anasema si mara ya ...

Read More »

Pogba kurejea Turin?

Klabu ya ‘Kibibi Kizee cha Turin’ Juventus imo kwenye hatua za mwisho kumrudisha kiungo wake wa zamani, Paul Pogba. Mchezaji huyo kwa sasa anacheza katika Klabu ya Manchester United. Mipango ya mabingwa hao wa Italia inaanza Januari mwakani. Pogba amekuwa kwenye mkakati wa kuondoka Manchester United kutokana na mtifuano uliopo kati yake na Kocha wake, Jose Mourinho. Kwa sasa uongozi ...

Read More »

A Background In Secrets For Mail-order brides

When it respect Russian women their very best feature might be their personality. Meeting pretty Russian women is relatively very simple when you find the most suitable web connection. Values Russian women have more traditional values. You can easily contact European women by e-mails and might also talk online along. Most of Russian women founded their own provider successfully. They ...

Read More »

Why Research Is Very Important

Our free propositions may assist you to receive through any type of documents. Within this strategy, each essay was compared against 40 documents from prior years which was ranked by three unique graders. You’ve been delegated to compose an article about technology making life simpler and though you understand the part of engineering in our regular lifestyles, you’re yet to ...

Read More »

Absolutely free love recommendations to help you get a solid, cheerful long-term union

In the event you identify the partnership blossoming right into a extreme romance, then you need to become really sure of what your demands can be. It can essential just so you know associated with whatever you really wish, matter what you’re looking for in terms of buying a romance. Therefore, a lasting enjoy romance will certainly not be a ...

Read More »

Thoughts On Easy Programs In Foreign Brides

The woman you trying to find is definitely on the lookout for at this point you. After all, the ladies will need to determine what you look such as. In fact , because of conservatism especially in Morocco’s rural areas, they are not interested in implementing the new regulations into their contemporary society but keep on living on the same ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons