Kigali nchini Rwanda

Diamond amewauliza mashabiki wake wa Rwanda ni sehemu ipi ambayo ni nzuri kwa ajili ya makazi. Kupitia ukursa wake wa Instagram muimbaji huyo wa WCB wameandika;

am looking for a property to buy in Kigali My future new home for the Simbas! My Rwandese fam, any ideas….?

Ningependa kuwa na kakibanda Kigali, Rwanda, Maana ni moja ya nchi niipendayo… hivyo ningefurahi kuwa na moja ya makazi yangu hapo…. Eti ndugu zangu wa Rwanda ni maeneo gani huko panaweza nifaa….?

Mwaka 2016 Diamond aliweka wazi kununua nyumba ya kifahari nchini Afrika Kusini iliyopo jijini Pretoria ambayo iligharimu zaidi Tsh. Milioni 400.

1263 Total Views 3 Views Today
||||| 1 I Like It! |||||
Sambaza!