Baba Mzazi wa Michael Jackson Amefariki

Baba mzazi wa Micheal Jackson, Joe Jackson amefariki dunia jioni ya jana akiwa na umri wa miaka 89 alikuwa akisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa saratani.

Ikumbukwe June 25 ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka mitano ya kifo cha mtoto wake Michael Jackson.

1038 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!

Comments

comments

Show Buttons
Hide Buttons