Mil.300/- za wasanii zilizodhulumiwa zarejeshwa akiwemo marehemu King Majuto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Bodi ya Filamu Tanzania imeunda kamati maalum ya kuhamasisha Watanzania kurejesha utamaduni wa kuangalia filamu katika kumbi za sinema. Hayo yamebainishwa na Katibu Mtendaji wa Bodi hiyo, Dkt. Kiagho Kilonzo leo Jumanne Oktoba 4, 2022 wakati akielezea utekelezaji wa shughuli za bodi na mwelekeo wa utekelezaji wa mwaka 2022/2023. Kilonzo…