TANROADS: Uharibifu wa mazingira Busunzu umetokana na mabadiliko ya kimazingira

Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umeeleza kuwa uchunguzi wa awali unaonesha uharibifu wa barabara eneo la Busunzu kwenye barabara kuu ya Kigoma-Mwanza umetokana na mabadiliko ya kimazingira (Geo-Environmental). Akitoa ufafanuzi wa suala hilo, Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi Narcis Choma amesema eneo hilo liko kwenye mradi wa barabara ya Mvugwe hadi Nduta Jct…

Read More