Habari za Kimataifa

Wanasayansi Kenya wagundua dawa inayoangamiza mbu anayesababisha Malaria

Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola wanatarajiwa kufanya kikao maalum kujadili jinsi ya kufadhili utafiti na matibabu ya ugonjwa wa malaria.Haya yanajiri wakati wanasayansi duniani wakiendelea na kikao cha kujadili hatua dhidi ya Malaria Dakar,Senegal. Huko Kenya wanasayansi kutoka Chuo cha Utabibu cha Liverpool School of Tropical Medicine- Uingereza ,pamoja na taasisi ya utafiti wa dawa nchini KEMRI ...

Read More »

Mke wa Rais wa 41 wa Marekani afariki dunia

Mke wa Rais wa 41 wa Marekani, George HW Bush na maa wa Rais wa 43 wa nchi hiyo George W Bush amefariki dunia akiwa na umri wa miaka. Barbara Bush, ambaye mume wake amekuwa rais tokea mwaka 1989 to 1993, alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu kabla ya kukutwa na umauti. Barbara amekuwa mke wa Rais Bush na ...

Read More »

Vipaumbele vya Fatma Karume kama Rais wa TLS

Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume ametaja mambo matano ambayo atayafanyia kasi baada ya kuchaguliwa kuongoza chama hicho, Jumamosi mjini Arusha. Fatma Karume ambaye ni binti wa Rais Mstaafu wa Zanzibar amesema kuwa, ataendeleza yale yaliyofanywa na mtangulizi wake, Tundu Lissu, ikiwamo kusimamia demokrasia, haki, utawala bora, haki za wanasheria pamoja na kufanya uchunguzi ili kubaini ...

Read More »

Padri mwengine auawa DRC

Kasisi wa kanisa katoliki amepigwa risasi na kufa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo. Vyanzo vya habari kutoka Kaskazini mwa jimbo la Kivu vimearifu kuwa Padri Étienne Nsengiunva alikuwa akikomnisha waumini na ndipo wakati mtu mwenye silaha alipoingia kanisani na kumpiga risasi. Tukio hilo lilijiri wakati wa sherehe za ibada ya ubatizo wa wakristo wapya na wanandoa wapya. Taarifa ...

Read More »

Uwanja wa ndege za kivita wa Syria washambuliwa kwa makombora

Watu kadha wamefariki katika uwanja mmoja wa ndege wa kijeshi nchini Syria baada ya shambulio la kutumia makombora, vyombo vya habari vya serikali ya Syria vinasema. Shirika la serikali la SANA limesema makombora kadha yalirushwa uwanja wa ndege wa Tayfur, ambao pia hufahamika kama T4 karibu na mji wa Homs, mapema leo Jumatatu. Maelezo zaidi bado yanaendelea kutolewa lakini bado ...

Read More »

China Yaiongezea Ushuru wa Forodha Bidhaa za Marekani

Baada ya kuidhinishwa na Baraza la Serikali ya China, kamati ya Ushuru wa Forodha ya China imeamua kuwa itasimamisha upunguzaji wa ushuru wa Forodha kwa bidhaa 128 za aina 8 zinazoagizwa kutoka Marekani kuanzia jana tarehe 2 Aprili, huku ikiongeza ushuru wa Forodha kwa bidhaa hizo. Ikumbukwe kuwa tarehe 22 Machi, Rais Donald Trump wa Marekani amesaini kumbukumbu ya kuiwekea ...

Read More »

Trump apongeza mazungumzo kati ya rais Xi na Kim

Rais wa Marekani Donald Trump amesema leo kuwa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un yuko tayari kukutana naye. Kauli hiyo inaashiria kuwa mkutano wa kihistoria unaopangwa kati yake na kiongozi huyo anayetengwa wa nchi ya bara Asia utaendelea. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais Trump ameandika kuwa alipokea ujumbe jana usiku kutoka kwa rais wa China Xi Jinping ukimweleza ...

Read More »

Miguna Atimuliwa Kenya, Apelekwa Dubai kwa Lazima

Mwanasiasa wa upinzani Kenya aliyeidhinisha kiapo cha kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwa ‘Rais wa Wananchi’ Januari Miguna Miguna ametimuliwa tena kutoka nchini humo. Mwanasiasa huyo ametimuliwa huku mzozo kuhusu uraia wake ukiendelea. Bw Miguna ameandika kwenye Facebook kwamba ameamka na kujipata yuko Dubai na kwamba anahitaji matibabu. Amesema anafahamu kwamba kuna mpango wa kumpeleka London lakini anataka kupanda ndege ...

Read More »

Imethibitishwa Kweli Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amezuru China

Baada ya siku ya uvumi wa siku nyingi, imethibitishwa kwamba kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amezuru China. Ziara hiyo, ambayo ilithibitishwa na China na Korea Kaskazini, ndiyo ya kwanza inayofahamika ya Bw Kim nje ya taifa lake tangu alipochukua mamlaka mwaka 2011. Bw Kim alifanya “mazungumzo ya kufana” na kiongozi wa China Xi Jinping mjini Beijing, shirika la habari ...

Read More »

China, Marekani katika vita ya biashara

Marekani inatarajia kuidhinisha viwango vipya vya ushuru ya bidhaa kutoka China hadi kufikia dola za Marekani bilioni 60, huku China nayo ikiahidi kuchukua hatua kama hiyo dhidi ya bidhaa kutoka Marekani. Afisa wa ngazi ya juu wa Marekani ambaye hakutaka jina lake kutajwa, ameliambia Shirika la Habari la Uingereza (Reuters) kwamba japokuwa nchi yake haijatoa orodha ya bidhaa ambayo ushuru ...

Read More »

WAKILI ALIYEMUAPISHA RAILA ODINGA AZUHIRIWA UWANJA WA NDEGE

Wakili wa upinzani aliyeidhinisha kiapo cha Bw Raila Odinga alipokuwa anajiapisha kuwa ‘Rais wa Wananchi’ mwezi Januari bado amekwama katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi. Bw Miguna Miguna alijaribu kurejea Kenya Jumatatu lakini akazuiwa kuingia baada yake kudaiwa kutowasilisha pasipoti ya Canada ambayo ilitumiwa kumsafirisha kwa nguvu hadi Canada. Wakili huyo alisisitiza kwamba ni raia wa Kenya na ...

Read More »

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kuburuzwa mahakamani

Jacob Zuma Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kuburuzwa mahakamani mwezi Aprili kwa makosa 16 yakiwemo ya kutumia vibaya ofisi wakati akiwa madarakani na ufisadi. Duru za habari nchini Afrika Kusini kusini likiwemo gazeti la News24 limeeleza kuwa Zuma atafikishwa kizimbani katika Mahakama Kuu mjini Durban tarehe 6 Aprili 2018 kwa makosa 16. Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa ...

Read More »

Watu 37 wafariki katika mkasa wa moto jumba la Kemerovo, Urusi

Watu 37 wamethibitishwa kufariki baada ya moto kuzuka katika jumba moja kubwa la kibiashara katika mji maarufu kwa uchimbaji wa mkaa wa mawe wa Kemerovo, eneo la Siberia nchini urusi. Watu zaidi ya 64 hawajulikani walipo, wakiwemo watoto 41. Baadhi ya maeneo ya jumba hilo kubwa yanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kuporomoka. Moto huo ulianza katika ghorofa ya juu katika ...

Read More »

VLADIMIR PUTIN ASHINDA TENA KITI CHA URAIS KWA KISHINDO

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameibuka mshindi kuliongoza taifa hilo kwa muhula mwingine ujao wa miaka sita baada ya kujipatia ushindi mkubwa.Ushindi huo ulitarajiwa katika upigaji kura uliomalizika siku ya jumapili.Hata kabla ya kura zote kuhesabiwa tayatri alikuwa amejizolea asilimia 76 kwa mjibu wa tume ya uchaguzi. Akizungumza katika mkutano wa kutangazwa mshindi amsema ushindi wake ni matokeo ya hatua ...

Read More »

ADHANA IMEPIGWA MARUFUKU KIGALI RWANDA, INASUMBUA WANANCHI

Marufuku ya matumizi ya adhana{ Wito kwa Waislamu kuhudhuria maombi} katika tarafa moja ya mji wa Kigali nchini Rwanda imepingwa vikali na baadhi ya Waislamu jijini humo. Utawala katika tarafa ya Nyarugenge kunakopatikana jamii kubwa ya Waislam nchini humo umebainisha kuwa kumekuwepo muafaka wa kubadili mbinu za kuwaita waumini bila ya matumizi ya njia hiyo ambayo inatajwa kuwasumbua wananchi. Kulingana ...

Read More »

UNAJUA USAFIRI ANAOTUMIA RAIS DONALD TRUMP AKIWA MATEMBEZINI

Rais wa Marekani Donald Trump akiwa katika mazingira ya kawaida ya kikazi hutembelea gari aina ya limousine. Gari hiyo ni moja kati ya magari ghali zaidi na yenye ulinzi mkali zaidi duniani kote ulinzi wake ni pamoja na vioo vyenye nguvu ya kuzuwia risasi, milango yake ina uzito sawa na milango ya ndege aina ya boeng 747, ikiwa itatokea janga ...

Read More »

DONALD TRUMPA AMTIMUA WAZIRI WA MAMBO YA NJE YA MAREKANI TILLEROIN

Rais Donald Trump amemfukuza kazi waziri wake wa mambo ya nchi za nje Rex Tillerson na kumchagua mkurugenzi wa idara ya ujasusi ya CIA, Mike Pompeo kuchua nafasi yake. Nafasi ya Pompeo katika CIA itachukuliwa na aliyekua naibu wake Gina Haspel. Katika ujumbe wa twitter, Rais Trump alimshukuru Tillerson akisema, “Mike Pompeo, Mkurugenzi wa CIA atakua waziri mpya wa mambo ...

Read More »

Tillerson awapongeza Kenyatta, Raila

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson Ijumaa alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Monica Juma. Tillerson alipongeza hatua ya rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga ya kukutana na kufanya mazungumzo, miezi kadhaa baada ya uchaguzi wa urais kusababisha machafuko wakati upinzani ukidai kulikuwapo udanganyifu katika uchaguzi huo. Rais Uhuru ...

Read More »

Tillerson aahidi kuendeleza uhusiano wa Marekani – Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson ameahidi kwa mara nyingine mshikamano wa Marekani na nchi za Afrika, katika juhudi za kufuta kauli ya utata iliotolewa na Rais Donald Trump ikilikashifu bara hilo. Mkutano wa mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani alioufanya na Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Moussa Faki umekuja miezi miwili baada ya ...

Read More »

Waziri akanusha ripoti kuwa Kenya haina fedha

Waziri wa Fedha Kenya Henry Rotich amesema Alhamisi kuwa ripoti zinazodai kuwa serikali ya nchi hiyo haina fedha ni “habari feki” na kuwa serikali kawaida haziwezi kukosa fedha. Ameongeza kuwa shilingi bilioni 200 zilizotolewa hivi karibuni na Eurobond zitaweza kukidhi mahitaji ya taifa hilo. Amesema ripoti hizo zinamakosa kwa kusema serikali haina fedha, limeripoti gazeti la The Daily Nation nchini ...

Read More »

Trump akubali Kukutana na Kim Jong

Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani ya mwezi mei mwaka huu,na hivyo kuweka historia kufuatia kuwa kutokuwepo rais wa Marekani ambaye amewahi kuonana na kiongozi mkuu wa Korea kaskazini. Hata hivyo mahala watakapokutana viongozi panasalia kuwa siri kwa sasa,na pia Marekani imesisitiza kuwa pamoja na kukubali ...

Read More »

Urusi yalaumiwa

Marekani imeishutumu Urusi kwa kukiuka hadharani mikataba iliyoafikiwa katika enzi za Vita Baridi, kwa kuunda kile Rais wa Urusi, Vladimir Putin, alichokitaja kuwa kizazi kipya cha silaha madhubuti. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeghadhabishwa na tamko la Putin na kusema kuwa Rais huyo wa Urusi amethibitisha madai ambayo yamekuwako kwa muda mrefu kuhusu mpango wake wa nyuklia. Msemaji ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons