NMB, ZASCO zasaini makubaliano kuongeza thamani zao la kimkakati Z’ Bar

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar BENKI ya NMB na Kampuni ya Mwani Zanzibar (ZASCO), zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU), ya ushirikiano, lengo kuu likiwa ni kuliongezea thamani zao la kimkakati la Mwani na kupanua wigo wa mchango wake katika kukuza Uchumi wa Buluu visiwani Zanzibar. Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es Salaam Ijumaa, ambako Waziri…

Read More