Archives for MCHANGANYIKO - Page 18
Abass Tarimba Ataja Mikakati ya Kuivusha Yanga
Wakati presha ya usajili wa wachezaji wapya kwa klabu za hapa Tanzania ukiendelea kushika kasi, Mwenyekiti wa Kamati Maluum ya kuivusha Yanga wakati wa mpito, Abass Tarimba, amesema jukumu kubwa la Kamati hiyo ni kushauri. Tarimba ameeleza kazi hiyo wanaifanya…
Ndemla Kuondoka Simba Sc
Tatizo siyo fedha, kwani Mohammed Dewji ‘Mo’ anaweza kuzitoa isipokuwa masharti magumu aliyoipa Simba ndiyo sababu ya kiungo mkabaji wa timu hiyo, Said Ndemla asuesue kusaini mkataba mpya wa kuendela kubaki kikosini humo. Simba na kiungo huyo hivi karibuni wameshindwa…
KOMBE LA DUNIA URUSI LEO NI ZAMU YA BRAZIL, MECHI ZINGINE KWA UJUMLA HIZI HAPA
Michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi inaendelea tena Jumapili ya leo kwa jumla ya mechi tatu kupigwa. Brazil ambao wametwaa ubingwa wa mashindano hayo mara tano watakuwa wanacheza na Switzerland, wakati Ujerumani watakuwa wanakipiga na Mexico. Ratiba kamili ya…
UFARANSA YAANZA VIZURI KOMBE LA DUNIA DHIDI YA AUSTRALIA
Ufaransa imefanikiwa kuibuka na ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu nchini Russia wa mabao 2-1 dhidi ya Australia. Mabao ya mchezo huo yametiwa kimiani na Antoine Griezmann katika dakika ya 58 kwa njia ya…
Huyu ndio Ronaldo Bana Apiga Hat Trick
Mtanange uliokuwa unasubiriwa kwa hamu Afrika na pande zingine duniani baina ya Spain na Ureno umemalizika kwa timu zote kuambulia alama moja baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya 3-3. Mechi hiyo imepigwa kwenye Uwanja wa Fisht uliopo Sochi…