Ziara ya Dk Biteko mikoa ya Lindi, Mtwara yaacha alama

đź“ŚAagiza kituo cha Polisi, Afya, Taa za Barabarani kuwekwa Kijiji cha Msimbati đź“ŚWananchi Kijiji cha Songosongo kupatiwa umeme, Maji, Kivuko đź“ŚAagiza Vijiji vya Msimbati, Madimba na Songosongo kupata gawio la Ushuru wa pHuduma đź“ŚAtaka TANESCO kuja na suluhisho la changamoto ya umeme Lindi/Mtwara Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe….

Read More

Stamico: Tutaendelea kuwabeba wachimbaji wadogo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Shirika la Madini la Taifa (Stamico) limesema litaendelea kutoa elimu, vifaa na kuboresha mazingira ya uchimbaji hapa nchini ili rasilimali za Taifa ziweze kusaidia wengi zaidi. Miongoni mwa mafanikio wanayojivunia ni ushirikiano na makubaliano waliyoingia na benki nne kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wachimbaji wadogo nchini. Akizungumza katika Mkutano…

Read More

TMA yatoa utabiri wa mvua maeneo yanayopata msimu mmoja

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kufuatia kuanza kwa mvua za msimu Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imeitaka idara ya menejimenti  ya maafa nchini  kuendelea kuratibu utekelezaji wa  mipango itakayosadia kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza kipindi cha mvua Akitoa taarifa hiyo kaimu mkurugenza Kaimu Mkurugenzi wa TMA, Dk Ladislaus Chang’a, amezitaka malaka husika…

Read More