Matinyi : Uchumi wa Tanzania umeimarika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika kwa kukuwa kwa asilimia 5.2 kufuatia kuporomoka kutoka asilimia 7 hadi asilimia 4.2 mwaka 2020 ikiwa ni madhara ya mlipuko wa UVIKO-19 duniani, vita za Urusi dhidi ya Ukraine sambamba na mvutano unaoendelea Mashariki ya Kati. Akielezea mafanikio hayo kwa waandishi wa habari…

Read More

Waziri Mkuu afuturisha Ruangwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, akisalimiana na wananchi mbalimbali waliohudhuria Iftafri aliyoandaa  Machi 22, 2024 Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi ikiwa ni sehemu ya kuonesha upendo na tukio la imani katika mwezi mtukufu wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa akizungumza na wananchi mbalimbali waliohudhuria Iftafri aliyoandaa  Machi 22, 2024 Wilaya ya…

Read More

Putin kuwashughulikia wahusika shambulizi lililouwa watu 115

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amewatahadharisha wahusika wa shambulizi lililowaua watu zaidi ya 115 eneo la Crocus City Hall nchini humo kuwa atakumbana na adhabu kali. Akihutubia taifa hilo muda mchache uliopita, Putin amesisitiza kuanzia aliyewatuma hadi waliotekeleza uhalifu huo watashughulikiwa. Amesema nguvu kubwa inaelekezwa kuwazuia walio nyuma ya shambulizi hilo wasifanye uhalifu mwingine hata…

Read More

Madaraja 19 Ruvuma yasombwa na maji

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea MADARAJA 19 na baadhi ya barabara za maungio zimesombwa na maji mkoani Ruvuma kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Hayo yamesemwa na Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) mkoani Ruvuma Mhandisi Silivanus Ngonyani wakati anatoa taarifa ya hali ya barabara na madaraja ya Mkoa wa…

Read More