RC ataka utafiti matumizi ya ‘salfa’
TABORA Na Tiganya Vincent Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dk. Batilda Buriani, amezitaka taasisi za utafiti wa wadudu kuchunguza matumizi ya salfa (sulfur) wakati wa kunyunyuzia mikorosho kama haina athari kwenye ufugaji nyuki. Amesema ni muhimu ili makundi ya nyuki yasije yakapotea kutokana na matumizi ya viuatilifu, ikiwamo salfa, ambavyo vinaweza kusababisha vifo kwa…