Urusi Vs Ukraine

*Ni pambano la ‘Daudi na Goliati’ uwanjani *Urusi ina kila kitu, makombora mazito, ndege *Marekani, Uingereza zaitosa Ukraine kijeshi *Putin aandaa matumizi ya zana za nyuklia Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Hali inazidi kuwa tete nchini Ukraine na wananchi wanazidi kuikimbia nchi yao kutokana na vita kati ya majeshi ya Urusi na Serikali ya…

Read More

Wanaoishi kinyemela nchini sasa ni wakati wa kuwabaini

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji anasema jeshi hilo linaendelea na operesheni ya kuwabaini wahamiaji haramu nchini. Anasema tayari kazi hiyo imeonyesha mafanikio makubwa kwani watu wengi walio nchini kinyume cha sheria wameshatiwa mbaroni na kufikishwa mahakamani na wengine kurejeshwa makwao. Tunampongeza Kamishna Jenerali kwa hatua hiyo muhimu katika kulinda ustawi wa nchi yetu, lakini…

Read More

Maboresho ya kanuni yatachochea ukuaji wa sekta ya mawasiliano

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Katika kuboresha mazingira ya utoaji huduma za mawasiliano nchini, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imetangaza maboresho ya Kanuni za Miundombinu ya Utangazaji Dijiti na Kanuni za Leseni zinazosimamiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).  Maboresho ya kanuni hizi pamoja na mambo mengine yanakusudia kuboresha mazingira ya…

Read More