Freeman Mbowe alazwa Hospitali ya KCMC

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Manendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi akiendelea kupatiwa matibabu baada ya kufikishwa hospitalini hapo jana usiku alipougua ghafla. Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Hai na kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), alifikishwa katika hospitali hiyo jana saa mbili usiku. Baada…

Read More

UFARANSA YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUPAMBANA NA RUSHWA

SERIKALI ya Ufaransa imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa mapambano dhidi ya rushwa na inaamini fedha zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali zitatumika kama ilivyokusudiwa. Kauli hiyo imetolewa leo (Jumatatu, Machi 05, 2018) na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Bw. Frederic Clavier alipomtembelea Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye makazi yake Oysterbay jijini Dar es…

Read More

CHADEMA WAWAJIBU SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA(TAHLISO) KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA AKWILINA

Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (Tahliso) limeibuka likitaka uchunguzi wa haraka ufanyike, huku likitaja makundi matatu yanayopaswa kulaumiwa kwa kifo cha mwanafunzi huyo. Mwenyekiti wa Tahliso, George Mnali alisema makundi hayo hayawezi kukwepa lawama kuhusu kifo cha binti huyo kilichotokea Februari 16 kwa kuwa pasipo wao kuandamana asingefikwa na umauti. Madai haya…

Read More