Rais Samia ang’ara kwa kupata kura 1914

Mweyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan amepata kura 1914 huku akipata kura moja ya hapana. Kwa Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania bara, Abdulrahman Kinana amepata kura 1,913 na mbili za hapana huku Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Dk.Hussein Ali Mwinyi amepata kura 1912 huku akipata kura tatu hapana. WAJUMBE WA NEC TANZANIA BARA WANAUME BARA…

Read More