Siasa

ZITTO KABWE AWAPA NEEMA WANANCHI WA TOMONDO, MKOANI MOROGORO

Kiongozi waChama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwa katika darasa la Shule ya Msingi Vuleni iliyoko Kata ya Tomondo jimbo la Morogoro Kusini alipotembelea shule hiyo jana, kuangalia miradi inayosimamiwa na diwani wa Chama hicho, ambako kiongozi huyo aliahidi kutoa bati za madarasa mawili. Kiongozi waChama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe (kulia), akiwa na diwani wa chama hicho, Hamisi Msangule ...

Read More »

DONALD TRUMP: WALIMU WARUSIWE KWENDA NA BUNDUKI MASHULENI

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba kuwapatia walimu silaha kunaweza kuzuia mashambulio ya risasi katika shule kama lile lililowaua watu 17 wiki iliopita mjini Florida. ”Mwalimu mwenye bunduki anaweza kukabiliana na washambuliaji mara moja”, alisema. Bwana Trump alitoa pendekezo hilo huku manusura wa shambulio hilo la tarehe 14 mwezi Februari wakimtaka kuhakikisha kwamba shambulio kama hilo halitokei tena. Rais ...

Read More »

TCD: TUNATAKA KUMWONA RAIS MAGUFULI ATUSAIDIE KUPATA KATIBA MPYA

Kongamano la viongozi wa siasa na viongozi wa dini lilikoandaliwa na Kituo cha Demokrasia (TCD), limemalizika leo jijini Dar es salaam, huku wajumbe wakipanga kwenda kumwona Rais John Magufuli wakiwa na pendekezo la kukamilishwa kwa mchakato wa Katiba. Akisoma mapendekezo ya mkutano huo, Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema mbali na Katiba mpya ...

Read More »

JAJI MKUU : MAHAKIMU SIMAMIENI MABARAZA YA KATA

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Nzega alipowasili kukagua shughuli za Mahakama. Jaji Mkuu ameanza ziara ya kikazi katika mkoa wa Tabora na Kigoma ambayo ni Kanda ya Tabora Jajki Mkuu akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Godfrey Ngulupa akimpokea Jaji Mkuu alipowasili ofisini kwake Nzega Mkuu wa Wilaya ya ...

Read More »

Serikali ichunguze e-passport

Wiki mbili zilizopita tumechapisha habari za uchunguzi juu ya mradi wa e-passport. Tumeeleza katika habari hizo kuwa kuna ufisadi unaokadriwa kufikia Sh bilioni 90, fedha ambazo waliokabidhiwa jukumu la kutafuta mzabuni kama wangetenda kwa masilahi ya taifa basi zingeokolewa. Katika habari tulizochapisha tumebainisha kuwa kampuni ya DeLaRue ilikuwa tayari kuchapisha hati za e-passport kwa gharama ya pauni 6, 989,468, sawa ...

Read More »

CCM yashinda Siha, Kinondoni “Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia”

*Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia DAR ES SALAAM NA WAANDISHI WETU Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi, katika uchaguzi mdogo uliofanyika katika majimbo ya Siha na Kinondoni, wameibuka washindi. Jimbo la Siha, Dk.Godwin Mollel ametangazwa mshindi, huku Kinondoni akitangazwa Maulid Mtulia. Wabunge hao wateule, wanarejea bungeni kwa mara nyingine baada ya kujivua uanachama wa vyama vyao vya awali, Dk. ...

Read More »

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ILEMELA NA NYAMAGANA. MKOANI MWANZA

 Baadhi ya watumishi wa  Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza  Sehemu ya watumishi wa  Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ...

Read More »

DAWASA NA DAWASCO ZATAKIWA KUPELEKA HUDUMA ZA MAJI PEMBEZONI MWA JIJI LA DAR

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso (wa pili toka kulia) akiwa na katibu tawala wa Wilaya ya Temeke, Edward Mpogolo wakati wakipatiwa maelezo machache juu ya uharibifu wa miundo mbinu ya maji inayofanywa na wananchi wasio waaminifu wakati wa ziara ya Naibu huyo aliyoifanya katika manispaa ya Temeke na Ilala ili kujionea miradi mbali mbali ya maji. Naibu Waziri ...

Read More »

UCHUNGUZI WAANZA KUBAINI WALIOMUUA KWA RISASI MWANAFUNZI CHUO CHA USAFIRISHAJI

*Wizara ya Mambo ya Ndani yaelezea kinachoendelea *Rais Magufuli aagiza waliohusika wachukuliwe hatua    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imewahakikishia Watanzania kuwa uchunguzi wa kifo cha mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji Aqwilina Akwiline aliyeuawa kwa kupigwa risasi utafanyika kwa haraka na weledi mkubwa na kufafanua waliohusika na kifo hicho kwa namna yoyote ile hatua kali za ...

Read More »

WAZIRI JAFO ATEMBELEA JIMBONI KWAKE AJIONEA KERO ZINAZOWAKABILI WAPIGA KURA WAKE

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo akizungumza na baadhi ya walimu wa shule ya sekondari Makulunge iliyopo kata ya kiluvuya katika halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe,Mkoa wa Pwani alipofanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kutembelea shule na kusikiliza changamoto mbali mbali zinazowakabili. Waziri wan chi Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo akizungumza na viongozi na ...

Read More »

MBOWE ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA KUWAZUIA POLISI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO NA KUSABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI WA NIT

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema kuwa, wanawashikilia askari 6 ambao wametumia silaha za moto katika uchaguzi huu mdogo wa Kinondoni. Aidha, Mambosasa amesema kwamba, CHADEMA waliwazuia Polisi kutekeleza wajibu wao ndio sababu nguvu ya ziada ilitumika kutawanya waandamanaji. Amesema wanamtafuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikael Mbowe ili wamfikishe katika vyombo vya sheria. Hadi sasa ...

Read More »

KUFUATIA KIFO CHA MWANAFUNZI WA NIT, RAIS MAGUFULI ATOA AGIZO

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia ya Akwilina Akwilini aliyeuawa baada ya kupigwa na risasi katika maandamano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Februari 16, 2017 eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam Katika salamu hizo, Rais Dkt Magufuli amesema kwamba amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo hicho ...

Read More »

Mtulia Ashinda Ubunge Jimbo la Kinondoni

Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Maulid Mtulia wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge, Jimbo la Kinondoni baada ya kupata kura 30,313 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Salum Mwalim (CHADEMA) aliyepata kura 12,353

Read More »

CHADEMA wayakana matokeo ya Uchaguzi wa Marudio majimbo ya Kinondoni na Siha

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji imeeleza kuwa baada ya upigaji wa kura katika uchaguzi kumalizika Chadema wametoa tathmini yao ya awali juu ya mwenendo wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana Februari 17, 2018, kwenye majimbo mawili (Kinondoni na Siha) na Kata 10, Chama kitatoa Taarifa

Read More »

CCM Yashinda Ubunge Jimbo la Siha

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya Tume ya Uchaguzi (Nec), kumtangaza Dk Godwin Mollel kuwa mshindi wa kiti hicho. Nec imemtangaza rasmi Dk Mollel kuwa mshindi wa uchaguzi huo baada ya kupata kura 25,611 huku akiwaacha mbali wapinzani wake, Elvis Mosi wa Chadema, Elvis Mosi aliyepata kura 5,905 ...

Read More »

Matokeo ya Uchaguzi Siha Kutoka Vituo Mbalimbali

MATOKEO ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Siha  yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel akiongoza kwa mbali katika baadhi ya vituo.   Katika matokeo hayo, Dk Mollel  anafuatiwa kwa mbali  na mgombea wa Chadema, Alvis Mossi huku wa CUF,  Tumsifuel Mwanri  akishika nafasi ya tatu lakini kwa tofauti kubwa ya ...

Read More »

UCHAGUZI KINONDONI MCHUANO MKALI KATI YA CCM YAONGOZA IKIFUATILIWA KWA KARIBU NA CHADEMA

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Kinondoni yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Maulid Mtulia akiongoza katika baadhi ya vituo. Katika matokeo hayo, Mtulia anafuatiwa kwa karibu na mgombea wa Chadema, Salum Mwalimu huku wa CUF, Salum Rajab Juma akishika nafasi ya tatu lakini kwa tofauti kubwa ya kura. Baadhi ya ...

Read More »

Aliyepigwa Risasi na Polisi ni Kumbe ni Mwanafunzi wa NIT

Aliuawa baada ya kupigwa risasi kwenye maandamano ya Chadema Dar es Salaam. Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kimesema aliyepigwa risasi jana Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam na kufariki dunia ni mwanafunzi wa chuo hicho. Chuo hicho kimemtaja mwanafunzi huyo kuwa ni Akwilina Akwiline aliyekuwa anasoma shahada ya kwanza ya ununuzi na ugavi. Leo, Februari ...

Read More »

MKIKITA WATEMBELEA CHUO CHA KILIMO CANRE NA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO BIASHARA

 Uongozi wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania ukitembelea bwawa linatumiwa kufundishia wanafunzi ufugaji wa samaki katika Chuo cha Kilimo, Mifugo na Maliasili (Canre), kilichopo Bonyokwa nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Anaye waongoza ni Mkuu wa Chuo hicho, Sylvester Nakara. Mkurugenzi Mtendaji wa Myandao wa Kijani Kibichi Tanzania, Adam Nagamange akionesha kitabu alichotunga cha Wewe ni Bilionea wa ...

Read More »

PROF. MBARAWA AAHIDI KUKAMILIKA KWA UJENZI WA DARAJA LA MTO MARA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/S Gemen Engineering & Mayanga, Mhandisi Andrew Nyamtori (kulia), alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto Mara, linalounganisha Wilaya ya Tarime na Serengeti, Mkoani Mara. Muonekano wa Daraja la Mto Mara lenye urefu wa Mita 94 na kuunganisha Wilaya za Tarime na Serengeti ...

Read More »

RC MTAKA ASITISHA MALIPO YA SHILINGI BILIONI 1.9 KWA WAKANDARASI WALIOSHINDWA KUKAMILISHA MIRADI

  Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthoy Mtaka(kulia) akiwa na baadhi ya viongozi wa Mkoa huo na Wilaya ya Meatu wakiondoka eneo la mradi wa maji wa Itinje mara baada ya kukagua mradi huo wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maji wilayani Meatu. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu, Ndg.Fabian Manoza akitoa maelezo juu ya mradi wa ...

Read More »

MAFUNZO YA MSAADA HUDUMA ZA KISAIKOLOJIA KWA WAHUDUMU VITUO VYA HUDUMA,TIBA MWANZA YAFUNGWA

    Mratibu wa Kudhibiti Ukimwi mkoa wa Mwanza Dk. Pius Masele amefunga mafunzo ya siku tano kuhusu msaada na huduma za kisaikolojia kwa wahudumu wa jamii wanaosaidia kazi katika vituo vya huduma na tiba kwa watu wanaoishi na Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) vilivyopo katika halmashauri 7 za wilaya mkoa wa Mwanza.  Mafunzo hayo yalikuwa yanafanyika katika ukumbi ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons